Mbona hawa majamaa hawajahama JF?

Mbona hawa majamaa hawajahama JF?

Usipotusi Wakenya huwezi pata usingizi usiku.Hata kazi za kinyumbani zitakushinda. Wewe lazima utusi Wakenya ndio angalau upate furaha kidogo maishani.
Ukiwa na pool of Kunyans that can't let a day pass before they check what I have posted! What do u expect?
 
Ukiwa na pool of Kunyans that can't let a day pass before they check what I have posted! What do u expect?
Why don't you stop posting halafu uone kama tutashughulika? Maisha itaendelea kama kawaida. Hata hatutajua eti umeenda
 
Ukiwa na pool of Kunyans that can't let a day pass before they check what I have posted! What do u expect?
Hahaa! [emoji1] Hapa kwenye jukwaa la Kenyan News and Politics. Jaribu siku moja kujitosa hata angalau kwenye jukwaa la siasa ama la hoja na habari mchanganyiko. Mzee, umekomalia humu kwa miaka zaidi ya kumi, kama sijakosea.
 
Why don't you stop posting halafu uone kama tutashughulika? Maisha itaendelea kama kawaida. Hata hatutajua eti umeenda
Tony Kuria, U found me posting in here! the least u can do is ignore me!
 
Back
Top Bottom