Mtu Kwao
JF-Expert Member
- Sep 2, 2019
- 394
- 720
Salaam
Kumekuwa na kumbukizi za viongozi wakuu wengi waliokwisha kutangulia mbele za haki kama vile Mwl. Nyerere, sokoine, mkapa na magufuli.
Lakini sijawahi ona kumbukizi za hayati mzee Kawawa na Dkt Omari zikipewa kipaumbele na serikali sikumbuki kama ata tarehe za zinakumbukwa..
Dkt Omari alikuwa makamu wa Raisi wa kwanza wa Muungano ambae alifariki 2001. Itakumbukwa kabla ya mwaka 1995 nafasi ya makamu wa Raisi wa Muungano ili tumikiwa na watu wawili Raisi wa Zanzibar na waziri .kuu wa Tanzania lakin kuanzia 1995 nafasi iyo ulianza kutumikiwa na mtu mmoja na wakwanza alikuwa ndie Dkt Omari Ali Juma...
Kuhusu mzee Kawawa ndo kabisa historia yake inajulikana
Lakini kivipi hawa viongozi wamesahaulika kabisa