Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣PAPA Francis anapigania maisha huko ICU yaani hataki kwenda mbinguni [emoji1787]
Izi DINI sometime zinachanganya sana sasa papa hataki kwenda mbinguni nani anataka? kama papa hataki?...
Kwaresma NJEMA.
😂😂PAPA Francis anapigania maisha huko ICU yaani hataki kwenda mbinguni [emoji1787]
Izi DINI sometime zinachanganya sana sasa papa hataki kwenda mbinguni nani anataka? kama papa hataki?...
Kwaresma NJEMA.
Wale wote wanaosema Kiranga anapenda sana hizi mada oneni sasa, Kiranga anaitwa sana kuchangia hizi mada.
Kwani waislam hawafi? Au umechanganyikiwaBc tuseme na Waislamu nao wafe ili wakabandue vile bikra
Nmechanganyikiwa.Kwani waislam hawafi? Au umechanganyikiwa
nIkiwa kwenye vijiwe vya kahawa,niliwah sikia watu wakisema kwamba hawa mapadre wanasoma mpaka wanajikuta masomo wanayosomea yanawaambia hakuna munguWale wote wanaosema Kiranga anapenda sana hizi mada oneni sasa, Kiranga anaitwa sana kuchangia hizi mada.
Kwa sababu watu wengi wanapenda kusikia mawazo ya Kiranga kuhusu hizi mada.
Kuhusu dini kuchanganya watu.
Dini lazima zikuchanganye.
Kwa sababu zimejengwa katika misingi ya uongo.
Hao mapapa wamesoma falsafa na theolojia wengi wao kiukweli ni ma atheist ila wanajifanya wanaamini Mungu kwa sababu wanaona hiyo ndiyo njia ya ku control watu tu.
Ni vigumu sana kusoma falsafa na theology ukafika level ya kuwa Cardinal au Papa bila ya kujua mambo kama the problem of evil na kuwa na uelewa kuwa hizi dini ni kabobo tu.
Papa Francis aloulizwa swali la the problemnof evil na kasichana kadogo hapo Manila, kaliuliza kwa nini watoto wadogo wanaishia kujiuza kwa natatizo wakati kuna Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na uoendo wote?
Papa alishindwa kujibu na akaishia kulipiga danadana za kisiasa tu swali hilo.
Ni kweli mkuu.nIkiwa kwenye vijiwe vya kahawa,niliwah sikia watu wakisema kwamba hawa mapadre wanasoma mpaka wanajikuta masomo wanayosomea yanawaambia hakuna mungu
nIkiwa kwenye vijiwe vya kahawa,niliwah sikia watu wakisema kwamba hawa mapadre wanasoma mpaka wanajikuta masomo wanayosomea yanawaambia hakuna mungu
Ndo maana sahv wengi wamekuwa wazinzi tena wa waziwaziHii hapa text ya kwenye cover la hiki kitabu.
Sasa hawa ma padre wanasoma hivi vitabu, wanajua ukweli. Halafu unafikiri watabaki wanaamini Mungu yupo?
How to Read the Bible | James Kugel
In How to Read the Bible, Harvard professor James Kugel leads the reader chapter by chapter through the "quiet revolution" of recent biblical scholarship, showing time and again how radically the interpretations of today's researchers differ from what people have always thought. The story of...www.jameskugel.com
How to Read the Bible
A Guide to Scripture, Then and Now
Scholars from different fields have joined forces to reexamine every aspect of the Hebrew Bible. Their research, carried out in universities and seminaries in Europe and America, has revolutionized our understanding of almost every chapter and verse. But have they killed the Bible in the process?
In How to Read the Bible, Harvard professor James Kugel leads the reader chapter by chapter through the “quiet revolution” of recent biblical scholarship, showing time and again how radically the interpretations of today’s researchers differ from what people have always thought. The story of Adam and Eve, it turns out, was not originally about the “Fall of Man,” but about the move from a primitive, hunter-gatherer society to a settled, agricultural one. As for the stories of Cain and Abel, Abraham and Sarah, and Jacob and Esau, these narratives were not, at their origin, about individual people at all but, rather, explanations of some feature of Israelite society as it existed centuries after these figures were said to have lived. Dinah was never raped — her story was created by an editor to solve a certain problem in Genesis. In the earliest version of the Exodus story, Moses probably did not divide the Red Sea in half; instead, the Egyptians perished in a storm at sea. Whatever the original Ten Commandments might have been, scholars are quite sure they were different from the ones we have today. What’s more, the people long supposed to have written various books of the Bible were not, in the current consensus, their real authors: David did not write the Psalms, Solomon did not write Proverbs or Ecclesiastes; indeed, there is scarcely a book in the Bible that is not the product of different, anonymous authors and editors working in different periods.
Such findings pose a serious problem for adherents of traditional, Bible-based faiths. Hiding from the discoveries of modern scholars seems dishonest, but accepting them means undermining much of the Bible’s reliability and authority as the word of God. What to do? In his search for a solution, Kugel leads the reader back to a group of ancient biblical interpreters who flourished at the end of the biblical period. Far from naïve, these interpreters consciously set out to depart from the original meaning of the Bible’s various stories, laws, and prophecies — and they, Kugel argues, hold the key to solving the dilemma of reading the Bible today.
How to Read the Bible is, quite simply, the best, most original book about the Bible in decades. It offers an unflinching, insider’s look at the work of today’s scholars, together with a sustained consideration of what the Bible was for most of its history — before the rise of modern scholarship. Readable, clear, often funny but deeply serious in its purpose, this is a book for Christians and Jews, believers and secularists alike. It offers nothing less than a whole new way of thinking about sacred Scripture.