Mbona hizi nchi mbili zinapenda kusumbuana?

Hili la kutoa pesa ili dereva wa Tanzania aruhusiwe kuingia kenya inaonyesha ni namna gani yale majibu ya positive ya kipindi kile kwa watanzania ilikua ni njia ya kujenga mazingira ya rushwa,maana madereva hao hao walionekana positive upande wa kenya walipopimwa tena upande wa Tanzania wakakutwa negative,wakenya acheni rushwa itakuja kucost kizazi na kizazi chenu
 
Kama ni Kenya ina makosa basi serikali ya Kenya ijirekebishe. Biashara lazima iendelee, covid 19 isilete chuki baina ya nchi hizi mbili.
@Tony254 ni wewe kweli ama kunamtu ame harck akaunti yako?
Kama KNY wote mkiwa hivi tutafika.
 
Border ya Kenya na Tanzania imefungwa tena. Hizi nchi zinapenda kusumbuana sana. Sijui shida iko wapi? Hii beef sio nzuri kwa biashara ya Afrika Mashariki na inaharibu uhusiano baina ya watu wa nchi hizi mbili.

Utadhani wake wenza

Jr[emoji769]
 
Umeonyesha hali ya kujitambua kidogo leo maana wewe na mk254 mnakua mara nyingi ushabiki tu hata Kama Nchi yenu inaboronga mnasifia
Asante mkuu. Biashara kwangu ni kitu cha muhimu sana. Ikifika kwenye biashara na kutengeneza pesa tuweke siasa kando jameni.
 
ngoja ule mkopo wa IMF na WB ukiisha Uhuru atarudi kwenye negotiation table! Usiwe na wasi!


Meanwhile Total has just released this good news to our economy
Hii mambo ya pipeline ujenzi ulikuwa uanze mwishoni mwa 2017. Tunaelekea 2021 na Total bado wanaendelea kuwapaka mafuta kwa mgongo wa chupa.
 
Niliisema hii style wakenya wakabisha. Wanawaonea sana madereva watanzania
 
Jamani taifa la kenya lina rushwa ya kutisha saaaaana....Askari wao wanaeza ua mtu kisa amekataa kutoa chochote...tuwaombee kwa Mungu maana Mwisho wa siku ni lazima tutafanya nao kazi tuuu...no way ...huyu ndo ally wa kuaminika katka biashara yetu ya mazao..
 
Hamna namna ila sisi pia tuwe serious kama Wakenya. Tuwache mambo ya hongo
 
Hamna namna ila sisi pia tuwe serious kama Wakenya. Tuwache mambo ya hongo
Haki imepotea sana Kenya..wakati kila siku Asubuhi na Jioni tuliimba "...Haki iwe Ngao na Mlinzi"
 
Ni Muda umepita tangu hizi nchi zianze kuvimbiana
Sizani Kama Kuna matokeo mazuri baadae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…