kifinga
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 5,249
- 9,539
Wahuni yani kenya looks like a failed state yani kama vijana wamepewa waendeshe nchi na hawajui waanzie wapi kila kitu kigeni kwao.Wakenya wakorofi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wahuni yani kenya looks like a failed state yani kama vijana wamepewa waendeshe nchi na hawajui waanzie wapi kila kitu kigeni kwao.Wakenya wakorofi
@Tony254 ni wewe kweli ama kunamtu ame harck akaunti yako?Kama ni Kenya ina makosa basi serikali ya Kenya ijirekebishe. Biashara lazima iendelee, covid 19 isilete chuki baina ya nchi hizi mbili.
Utadhani wake wenzaBorder ya Kenya na Tanzania imefungwa tena. Hizi nchi zinapenda kusumbuana sana. Sijui shida iko wapi? Hii beef sio nzuri kwa biashara ya Afrika Mashariki na inaharibu uhusiano baina ya watu wa nchi hizi mbili.
Umeonyesha hali ya kujitambua kidogo leo maana wewe na mk254 mnakua mara nyingi ushabiki tu hata Kama Nchi yenu inaboronga mnasifiaNdio. Kwa nini unauliza?
bado mk254 nayeye atakili muda si mrefu.Umeonyesha hali ya kujitambua kidogo leo maana wewe na mk254 mnakua mara nyingi ushabiki tu hata Kama Nchi yenu inaboronga mnasifia
Yule cdhan Kama anauwezo hata wa kujilisha maana hata hajui dunia inavyokwenda
Asante mkuu. Biashara kwangu ni kitu cha muhimu sana. Ikifika kwenye biashara na kutengeneza pesa tuweke siasa kando jameni.Umeonyesha hali ya kujitambua kidogo leo maana wewe na mk254 mnakua mara nyingi ushabiki tu hata Kama Nchi yenu inaboronga mnasifia
ngoja ule mkopo wa IMF na WB ukiisha Uhuru atarudi kwenye negotiation table! Usiwe na wasi!Asante mkuu. Biashara kwangu ni kitu cha muhimu sana. Ikifika kwenye biashara na kutengeneza pesa tuweke siasa kando jameni.
ngoja ule mkopo wa IMF na WB ukiisha Uhuru atarudi kwenye negotiation table! Usiwe na wasi!
Meanwhile Total has just released this good news to our economy
Hili la kutoa pesa ili dereva wa Tanzania aruhusiwe kuingia kenya inaonyesha ni namna gani yale majibu ya positive ya kipindi kile kwa watanzania ilikua ni njia ya kujenga mazingira ya rushwa,maana madereva hao hao walionekana positive upande wa kenya walipopimwa tena upande wa Tanzania wakakutwa negative,wakenya acheni rushwa itakuja kucost kizazi na kizazi chenu
Jamani taifa la kenya lina rushwa ya kutisha saaaaana....Askari wao wanaeza ua mtu kisa amekataa kutoa chochote...tuwaombee kwa Mungu maana Mwisho wa siku ni lazima tutafanya nao kazi tuuu...no way ...huyu ndo ally wa kuaminika katka biashara yetu ya mazao..Hili la kutoa pesa ili dereva wa Tanzania aruhusiwe kuingia kenya inaonyesha ni namna gani yale majibu ya positive ya kipindi kile kwa watanzania ilikua ni njia ya kujenga mazingira ya rushwa,maana madereva hao hao walionekana positive upande wa kenya walipopimwa tena upande wa Tanzania wakakutwa negative,wakenya acheni rushwa itakuja kucost kizazi na kizazi chenu
Hamna namna ila sisi pia tuwe serious kama Wakenya. Tuwache mambo ya hongoJamani taifa la kenya lina rushwa ya kutisha saaaaana....Askari wao wanaeza ua mtu kisa amekataa kutoa chochote...tuwaombee kwa Mungu maana Mwisho wa siku ni lazima tutafanya nao kazi tuuu...no way ...huyu ndo ally wa kuaminika katka biashara yetu ya mazao..
Tony huwaga smarterTony254,hayo uyasemayo yanatoka moyoni kweli?
Haki imepotea sana Kenya..wakati kila siku Asubuhi na Jioni tuliimba "...Haki iwe Ngao na Mlinzi"Hamna namna ila sisi pia tuwe serious kama Wakenya. Tuwache mambo ya hongo
Wakenya roho zao hazina tofauti na wanyama,ndio maana ukabila kwao autoisha mileleNiliisema hii style wakenya wakabisha. Wanawaonea sana madereva watanzania