Tatizo mkuu hao walioshikiria mamlaka ni wazee ambao walitokea kwnye zama za mawe, bado wanaamini, Dunia iko vile vile, wanatumia propaganda zile zile za miaka ya 90s, huoni kwnye uchaguzi waligawa baiskeli. Tanzania ya 2025, unagawa baiskeli kwel ili upendwe, unazima internet ili usijulikane unafanya mauaji. Ni maajabuUko sahihi.sana, Muda tunaopoteza kwa propaganda tungetatua changamoto za maji. Barabara. Masoko. Pemebejeo na vifaa tiba.pamoja.na.dawa hospitalini.
Polepole alieleweka kweli alipokuwa akichambua kwanini tunahitaji kujenga viwanda vya.dawa ambazo magonjwa yake yanaathiri.sana population yetu tungepunguza importation in usd.
Zama hizi information huwezi kuigeuza maana watu.wataipata tuu toka kwenye.source. Ni ukosefu wa akili.na hekima kupoteza muda kwa propaganda.
Kwa kilichotokea ni lazima tuwe na austerity measures kupunguza walaji wa pesa ya taifa futa baadhi ya vyeo vya kijinga. Magari. Posho.za matask force ili pesa ifanye maendeleo sio kuwapa kina shilole nje ya.bajeti
Wazungu ndio wamekugawia baiskeli yenye nembo ya sunflower 🌻?Wazungu ndo wamesababisha yote hayo kuanzia DRC mpaka Zimbabwe
Wazungu ndio wamekugawia baiskeli yenye nembo ya sunflower 🌻?
Historia ya bibi yako muuaji?Soma Sana historia
OkayHistoria ya bibi yako muuaji?
Useful "idiot"Wazungu ndo wamesababisha yote hayo kuanzia DRC mpaka Zimbabwe
Unagawa baiskeli.wakati.barabara za kutembelea hakuna. Maji safi na salama hakuna. Gharama za maisha zinapanda.exponentially kama kiongozi inabidi.utumie akili.yako kushusha gharama za maisha kama luku. Mafuta. VyakulaTatizo mkuu hao walioshikiria mamlaka ni wazee ambao walitokea kwnye zama za mawe, bado wanaamini, Dunia iko vile vile, wanatumia propaganda zile zile za miaka ya 90s, huoni kwnye uchaguzi waligawa baiskeli. Tanzania ya 2025, unagawa baiskeli kwel ili upendwe, unazima internet ili usijulikane unafanya mauaji. Ni maajabu
Dalili zinaonyesha kuwa hata DRC miaka ya nyuma ilikuwa kama sisi mambo ya kusifia sifia upumbavu lakini mwisho wa siku kila mtu anajua ilivyo DRC ya leo.
Wewe poyoyo, Wazungu ndio wanateka, kuua watu na kufanya uchaguzi wa maigizo nchini kwako??Wazungu ndo wamesababisha yote hayo kuanzia DRC mpaka Zimbabwe
Kamilisha utafiti kwanza wa nini hasa kiliisibu Zimbabwe.Shida ilianza viongozi kuanza kukosa sera na mikakati ya kuendeleza nchi yao, na kuanza kutafuta adui wa nje kuwatazamisha watu wamuone adui yupo nje mabeberu akishirikiana na baadhi ya watu waliopo ndani ya nchi yao n.k wakati kihalisi matatizo yameanzia ndani ya nchi yao. Na viongozi wao wakiwa wahusika wakubwa.
Hivyo akafanikiwa kuwagawa raia wao na mauaji ambayo yalishuhudiwa katika Ulimwengu hule ambao haukuwa na social media kama hii leo.
Kilichofuata ni kwamba nchi ya Zimbabwe. China, Urusi na Iran haijaweza kuwasaidia kutoka walipofikia. Na kuna wanachi wengi pale wamekimbia nchi yao wengi wamekimbilia S.A na nyingine za jirani lakini uthamani wao mataifa walipokimbilia umeshuka pia na wanahusishwa na mambo ya uharifu na cheap labor.
pumbaKamilisha utafiti kwanza wa nini hasa kiliisibu Zimbabwe.
Zimbabwe imeathiriwa na kelele za wananchi waliojiaminisha wapigania Uhuru wa Zimbabwe ambao walishinikiza Serikali ichukue ardhi kutoka kwa walowezi na kuwagawia wao (Sera za kijamaa). Serikali ilikubali na ilianzisha mazungumzo ya pande mbili ili kufanya zoezi liende vizuri bila kuleta madhara ikiwa ni pamoja na kuwafidia walowezi waliokuwa na mashamba na wazalishaji wakubwa wa bidhaa nchini humo vilevile kufanya uchambuzi wa kuwapatia ardhi hiyo watakaokuwa na uwezo wa kuiendeleza.
Mazungumzo yakiwa hayajakamilika, warriors walianza kujichagulia maeneo watakayochukua. Mchakato huo wa kujichagulia maeneo ulisababisha mgogoro kati ya wananchi na walowezi wa kizungu kiasi cha kutokea machafuko na mauaji makubwa kwa walowezi. Walowezi wakaondoka kwa kwenda nchi nyingine na wananchi wakajitwalia ardhi bila kuwa na ujuzi wa kuyaendeleza. Hapo ndipo uzalishaji wa kilimo na bidhaa zake ulishuka, uchumi ukashuka na kwa kuwa serikali haikuchukua hatua kunusuru mali na uhai wa walowezi wakati wa machafuko, nchi ya Uingereza (ambapo walowezi wengi walitokea) na washirika wake waliiwekea vikwazo Zimbabwe na ndipo ikafika ilikofika.
Hiyo ni tofauti na kinachoendelea Tanzania. Kimsingi, hali hiyo ingefikiwa tu iwapo serikali ya Tanzania ingewasikiliza wale wapuuzi wa kuchoma nchi na madai yao yasiyo na kichwa wala miguu.
NB: Tumia elimu yako vizuri, kwa faida yako, kizazi chako na Taifa lako.
Hizi ndizo akili zenu Chadema ambao pia mnajiita GenZ, au wadai haki. Matusi tu ndio mnachojua. Zawadi inayowafaa ni kqmq ileile ya October 29.pumba
Unapotengeneza mwanya wa mtu kukutumia hakika atakutumia. Waafrika tunajipeleka na kujiuza wenyewe kwa wazungu kama mbwa kwa chatu kwanini usimezwe sasa.Wazungu ndo wamesababisha yote hayo kuanzia DRC mpaka Zimbabwe