Mbona huku Zanzibar hakuna single mother?

Mbona huku Zanzibar hakuna single mother?

1. Ndoa za mitala zimepusha janga
(Imani yao islamic imesaidia Sana)

2. z'bar wanawake wao wanajisitiri Sana
(Hawavai nus-uchi kuongeza matamanio)

3. Kupata mwanamke wa kujipigia one-night stand wa mitaani stand kwa z'bar Ni shughuli pevu sn.
(Wanaogopa zinaa balaa, kila binti anataka ukaonekane kwao Kwanza. Kwa Wapiga night-stand huo mlolongo Ni big turnoff)

4. Wanawake wa z'bar wanatembea haraka Sana,afu hawamwamini mtu kirahisi.
(Ngumu sn kumsimamisha akasimama na hakujui)

Sent using Jamii Forums mobile app

Zanzibar Hii nnayoijua [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nicheke mie
 
Single mother ni zao la Uzinzi.

Kama sio mbona hapa Zanzibar hakuna single mother? Na Kama wapo ni wachache mno na wanaume wengi wamewastiri .

Mda mwingi unadili na dini yako.tuulize tukupe majibu!

Umri ukizidi 30 kwenda mbele mtoto wa znz bora kuzaa ili mradi asije kukosa wa kumtunza.

Ninaye kidawa huko na subiri mwezi wa pili nikasuguliwe na machicha ya nazi
 
Single mother ni zao la Uzinzi.

Kama sio mbona hapa Zanzibar hakuna single mother? Na Kama wapo ni wachache mno na wanaume wengi wamewastiri .
Wanawake wote tokata Tanganyika waliopo bara %99 single mother na watoto wao wamewapeleka kwa bibi zao kijijini na wao wana walia pesa wazanzibari na kutuma kijijini kwao
 
Back
Top Bottom