Mbona huku Zanzibar hakuna single mother?


Zanzibar Hii nnayoijua [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nicheke mie
 
Single mother ni zao la Uzinzi.

Kama sio mbona hapa Zanzibar hakuna single mother? Na Kama wapo ni wachache mno na wanaume wengi wamewastiri .

Mda mwingi unadili na dini yako.tuulize tukupe majibu!

Umri ukizidi 30 kwenda mbele mtoto wa znz bora kuzaa ili mradi asije kukosa wa kumtunza.

Ninaye kidawa huko na subiri mwezi wa pili nikasuguliwe na machicha ya nazi
 
Single mother ni zao la Uzinzi.

Kama sio mbona hapa Zanzibar hakuna single mother? Na Kama wapo ni wachache mno na wanaume wengi wamewastiri .
Wanawake wote tokata Tanganyika waliopo bara %99 single mother na watoto wao wamewapeleka kwa bibi zao kijijini na wao wana walia pesa wazanzibari na kutuma kijijini kwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…