Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
masharoharo kwisha habari yao!!!
Acha umatumbi wewe, msanii kioo cha jamii.Walimwengu bwana! Sasa maisha ya huyu yanakuhusu nini? Kawa ni ujinga/ubora ni wake, kuna mambo mengi ya kufuatilia katika maisha, nianze kuumiza kichwa kwanini TID amekonda nitakuwa na akili kweli?
Jamani huyu jamaa ana'keep figure au ni mambo yetu yaleeeeee.....
angalia hapa alivyokuwa anavutia.....mibangi na midawa yakulevya hata huyu ni wale wale wakina ngwea ,kifo chao ni kimoja eti hapo ndio anasema anataka kuoa hhahahahaahahahahaah yaani hata huyo mwanamke anayemkubali huyu kweli ni kiazi.
Hivyo vingine vinaweza visikuhusu ila hicho cha kwanza mh, hakina mwenyewe kimekaa pabaya!virusi+ unga + Clouds Fm.
Acha umatumbi wewe, msanii kioo cha jamii.
Vijana hawa wananisikitisha sana...lakini wanafanya kazi ya sana hawalipwi kinachistahili kama TID kaimba hit song ngapi nyingi lakini amepata malipo ya jasho lake....? inasikitisha kwa kweli...