Mbona huyu TID amekwisha hivi??

Mbona huyu TID amekwisha hivi??

Kwa kweli wanahitaji msaada,hivi huwa hawapewi seminars hivi.....yaani 'mtu imekonda kama mfupa ya panya',eti mmesema anataka kuwowa??? Nivea
ndio alisema hapa
tiddddddddd.jpg
 
Kwa jinsi alivyostaa, hakuna demu atakayemkataa.

'kwa dada'ngu hawezi kumkubali KakaJambazi labda kwa..............coz dada'ngu hanaga shobo shobo za kihivyo mkuu na naamini hata dada'ko hawezi kumkubali mkuu hata kama ungekuwa nae mkuu angeweza kumkubali mkuu'
 
Last edited by a moderator:
anataka kuoa?kheee sasa huyu anaoa ninj
 
Dah masikini.,kweli maisha ni tambara bovu.Vijana wanaangamia sasa hawa ni wasanii ndo mana wanajulikana,vp wale ambao wako mtaani na ndiyo idadi kubwa ya waathirika wa drugs.Nguvu kazi ya taifa inapungua.
Mola ibariki Tanzania,
 
@Dr.Mo umenena,me nadhan chanzo cha hawa jamaa kujihusisha kwenye ulevi ni stress za maisha waliyo nayo kama usemavyo songs zimeheat ila hawana kitu
Mkoroshokigoli...hawa watu wanasikitisha sana...km magwear kaingia kwenye madawa kwasababu ya depression ambayo ilianza kujijenga kidogo kidogo...coz ukiangalia albam kama aka mimi.. karibia nyimbo zote ni hit na ilipaswa imlipe amalize shida zake ndogo ndogo..lakin wapi..? na pia watu kama clouds na wengine wanaoshikilia industry hawawalipi wasani inavyotakiwa...kama clouds ndo wanafikia mpaka kuwatisha wasanii wakikataa kufanya show zao...
 
Hata kiwango cha muziki kimeshuka sababu ya sembe kwani muda mwingi anakua stim lini atajipanga na kazi!anatakiwa kujionea huruma kabla ya kuonewa huruma

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Mkoroshokigoli...hawa watu wanasikitisha sana...km magwear kaingia kwenye madawa kwasababu ya depression ambayo ilianza kujijenga kidogo kidogo...coz ukiangalia albam kama aka mimi.. karibia nyimbo zote ni hit na ilipaswa imlipe amalize shida zake ndogo ndogo..lakin wapi..? na pia watu kama clouds na wengine wanaoshikilia industry hawawalipi wasani inavyotakiwa...kama clouds ndo wanafikia mpaka kuwatisha wasanii wakikataa kufanya show zao...
Tuache kulaumu upande mmoja2 kw mfano na hao wasanii wa nje wanaovuta kw case ka hz e.g whtney,wako etc watailaumu serkal yao mi naona ht wasanii wenyewe hawajitambui wameendekeza starehe zisizo na mcng na ulimbuken wa kuwa staa huku wakijisahau kuwa kuna kesho kwn huwez kuwa juu daima vipaj vinazaliwa kila kukicha inapaswa kujipanga haswa pale hela inapokuja kw wkt ule maisha n kupanda n kushuka chamcng mapambano.
 
Wonder hiyo hela wanaipata wapi mkuu....unajua kurecord mziki..kutoa video na kupromote kunavyo kula muda na hele mkuu...tarudi kweli kwa show za laki nne nne mkuu(naongea enzi za akina TID na magwear r.i.p...? sio sasa hivi....hawa jamaa(wanamziki) inabidi tuwasupport kwa ujumla...Kama clouds na jide sasa hivi that was not necessary kumpeleka mpaka mahakamani....Tufikirie mbali...!!!
 
sumu ya teejaaaaa

Tatizo la mateja hawali chakula, wanapendelea vitu laini, juice juice, half cake, mandazi, kwa ujumla wanapenda vitu vyenye sukari nyingi.
 
Watumia unga wote wanajiita wanyama eti...
 
Every one is dreaming about good life.
 
Back
Top Bottom