Mbona huyu TID amekwisha hivi??

Mpaka kaficha mwili na kanzu!!!! Halafu hasikiki kabisa tena huyu TID wa kizazi cha maombi. Tuombe Mungu awanusuru hawa vijana maana kuna mambo mengi hatarishi yanawasonga sana kama madawa (Heroine, cocaine, Bangi, na mengineyo), pombe, uzinzi tena kwa chain sasa wataponea wapi? Halafu akwae VVU huku anaendekeza tabia za maisha si anaondoka kwa haraka tu? VVU inahitaji nidhamu ya hali ya juu sana ili uweze kuvuka miaka ya kutosha, vinginevyo mwaka tu unaondoka!! Ukishika nidhamu na masharti hesabu over 40 years with VVU!!
 
kundi la tid na huyo anayewatuma kusafirisha eti wanasaka utajiri..namshaur tid aende kitengo pale muhimbili aokoe maisha yake ni buuuure atakufa na denda linatililika
 
Walimwengu bwana! Sasa maisha ya huyu yanakuhusu nini? Kawa ni ujinga/ubora ni wake, kuna mambo mengi ya kufuatilia katika maisha, nianze kuumiza kichwa kwanini TID amekonda nitakuwa na akili kweli?
 
Walimwengu bwana! Sasa maisha ya huyu yanakuhusu nini? Kawa ni ujinga/ubora ni wake, kuna mambo mengi ya kufuatilia katika maisha, nianze kuumiza kichwa kwanini TID amekonda nitakuwa na akili kweli?
Acha umatumbi wewe, msanii kioo cha jamii.
 
Labda ana maleria jamani

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
mibangi na midawa yakulevya hata huyu ni wale wale wakina ngwea ,kifo chao ni kimoja eti hapo ndio anasema anataka kuoa hhahahahaahahahahaah yaani hata huyo mwanamke anayemkubali huyu kweli ni kiazi.
angalia hapa alivyokuwa anavutia.....
sijui nani anawaambia bila hayo majani hawawezi toka!
 
Last edited by a moderator:
Vijana hawa wananisikitisha sana...lakini wanafanya kazi ya sana hawalipwi kinachistahili kama TID kaimba hit song ngapi nyingi lakini amepata malipo ya jasho lake....? inasikitisha kwa kweli...
 
amani kwa Kaka Voda Milionea...
Washtue wanao waache poda wale mmea...

JAY MOE
 
Vijana hawa wananisikitisha sana...lakini wanafanya kazi ya sana hawalipwi kinachistahili kama TID kaimba hit song ngapi nyingi lakini amepata malipo ya jasho lake....? inasikitisha kwa kweli...

@Dr.Mo umenena,me nadhan chanzo cha hawa jamaa kujihusisha kwenye ulevi ni stress za maisha waliyo nayo kama usemavyo songs zimeheat ila hawana kitu
 
Anaji ita myamaa eti nilimuona juzi jaman unga acheni duh.
Yani wasan wa bongo ni aibu kwa ungaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…