virusi + unga + Clouds Fm.
Kwa jinsi alivyostaa, hakuna demu atakayemkataa.
@Dr.Mo umenena,me nadhan chanzo cha hawa jamaa kujihusisha kwenye ulevi ni stress za maisha waliyo nayo kama usemavyo songs zimeheat ila hawana kitu
Bangi, Unga, Pombe & Mkorogo, UgonjwaJamani huyu jamaa ana'keep figure au ni mambo yetu yaleeeeee.....
Mkoroshokigoli...hawa watu wanasikitisha sana...km magwear kaingia kwenye madawa kwasababu ya depression ambayo ilianza kujijenga kidogo kidogo...coz ukiangalia albam kama aka mimi.. karibia nyimbo zote ni hit na ilipaswa imlipe amalize shida zake ndogo ndogo..lakin wapi..? na pia watu kama clouds na wengine wanaoshikilia industry hawawalipi wasani inavyotakiwa...kama clouds ndo wanafikia mpaka kuwatisha wasanii wakikataa kufanya show zao...@Dr.Mo umenena,me nadhan chanzo cha hawa jamaa kujihusisha kwenye ulevi ni stress za maisha waliyo nayo kama usemavyo songs zimeheat ila hawana kitu
umeonae e bora umemjibu maana nilikuwa namtafutia jibu labda alisahau kuwa hp n kona ya mastaaAcha umatumbi wewe, msanii kioo cha jamii.
Tuache kulaumu upande mmoja2 kw mfano na hao wasanii wa nje wanaovuta kw case ka hz e.g whtney,wako etc watailaumu serkal yao mi naona ht wasanii wenyewe hawajitambui wameendekeza starehe zisizo na mcng na ulimbuken wa kuwa staa huku wakijisahau kuwa kuna kesho kwn huwez kuwa juu daima vipaj vinazaliwa kila kukicha inapaswa kujipanga haswa pale hela inapokuja kw wkt ule maisha n kupanda n kushuka chamcng mapambano.Mkoroshokigoli...hawa watu wanasikitisha sana...km magwear kaingia kwenye madawa kwasababu ya depression ambayo ilianza kujijenga kidogo kidogo...coz ukiangalia albam kama aka mimi.. karibia nyimbo zote ni hit na ilipaswa imlipe amalize shida zake ndogo ndogo..lakin wapi..? na pia watu kama clouds na wengine wanaoshikilia industry hawawalipi wasani inavyotakiwa...kama clouds ndo wanafikia mpaka kuwatisha wasanii wakikataa kufanya show zao...
Labda amefunga.
sumu ya teejaaaaa
Ngoja niikuze kidogo hapa tumuone kwa ukaribu