aiseeee hili dubwana pembeni ndio nyangumi au tembo?
Bangi, Unga, Pombe & Mkorogo, Ugonjwa
achen majungu wabongo ,fanyan yenu
nilijua kabanga twitte.......ndio babra hasan? aisee basi mie mawazo yangu nikisikia ile sauti najua anafanana na huyu chinini nyangumi la powerbreakfast wa kituo cha wafu...
Walimwengu bwana! Sasa maisha ya huyu yanakuhusu nini? Kawa ni ujinga/ubora ni wake, kuna mambo mengi ya kufuatilia katika maisha, nianze kuumiza kichwa kwanini TID amekonda nitakuwa na akili kweli?
Kweli kabisa ujakosea. TID kafanana na Sheikh Ponda.Tid kafanana sana na sheikh ponda
Tid kafanana sana na sheikh ponda
achen majungu wabongo ,fanyan yenu
Tid kafanana sana na sheikh ponda
da we jamaa jinga kwel kwa nini hauzungumzuwi wewe? Yeye anafahamika na ni ki0o cha jamii ata ungekua wewe tunakufaham tungekuongelea tu ndg, acha uzombi...
Haujui ata mana ya elimu jamii we Zombie
mibangi na midawa yakulevya hata huyu ni wale wale wakina ngwea ,kifo chao ni kimoja eti hapo ndio anasema anataka kuoa hhahahahaahahahahaah yaani hata huyo mwanamke anayemkubali huyu kweli ni kiazi.
Kwa jinsi ulivyonijibu tu, nimeona wewe sio mtu wa mimi kuanza kubishana na wewe. Tatizo hujaelewa ni kwanini mimi nimesema hivyo. Sijapinga kuwa wasanii ni kioo cha jamii, lakini tusipoteze muda kufuatilia maisha ya watu hasa wasanii, ndio haya haya mpaka leo 60% ya Tanzania's media zimekaa kidaku kutaka kuchunguza maisha ya watu wakati Tanzania kuna shida nyingi na kuna mambo yanahitaji awareness ambayo ingetolewa na medias, sasa kama media zimekaa kutaka kujua TID, Diamond au wema wamekula nini, wanavaa nini, kwanini wamepungua na kwanini fulani mwembamba unafikiri nani ataweka awareness katika jamii?
OPEN YOUR MIND AND THINK!!!!
mibangi na midawa yakulevya hata huyu ni wale wale wakina ngwea ,kifo chao ni kimoja eti hapo ndio anasema anataka kuoa hhahahahaahahahahaah yaani hata huyo mwanamke anayemkubali huyu kweli ni kiazi.
wee dada jieshim na maneno yako kwani we unajua kfo chako ktakuaj au waliokufa kwa hilo janga wamependa?uckurupuke 2
usiteteee ujinga koma kabisa hawa wanakula unga kama fasion ,na wanaona madhara yake!!wee dada jieshim na maneno yako kwani we unajua kfo chako ktakuaj au waliokufa kwa hilo janga wamependa?uckurupuke 2
nyambizi...aiseeee hili dubwana pembeni ndio nyangumi au tembo?