Mbona Ikulu ya Kenya haivutii Kama Ikulu ya Tanzania

Mbona Ikulu ya Kenya haivutii Kama Ikulu ya Tanzania

Victor wa happy

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2013
Posts
11,660
Reaction score
11,654
Mazingira pamoja na majengo ya Ikulu ya Kenya ni ya kawaida sana
Ukiangalia hata ukumbi wa mikutano designed very poor compare to that of Ikulu ya Tanzania
Yaani Kama kusingekuwepo nembo ya harembee ungesema labda ni hostel

Take it as a challenge mbadilishe Ikulu wakenya Hiyo ndio taswira ya nchi

Ikulu ya Tanzania inavutia sana
 
Kenya State House
1109366



United Republic of Tanzania State House:-
1109367
 
...Mh,kama hiyo ikulu kama taasisi inatimiza majukumu muhimu ya msingi kwanza kwa wananchi wake,hilo ndilo la muhimu zaidi hasa ukizingatia kuwa,nchi na wananchi ndio taswira sahihi zaidi ya nchi na ndio haswaaa ya kupiganiwa kwanza kabla ya vyote,hasa ukizingatia hali zenyewe za uchumi Afrika.
Mwaweza kuwa na ikilu nadhifu sana,mkaweka rais smart kimwonekano tena anayevutia hasa (labda ili pia kuboresha hiyo taswira nzuri zaidi ya nchi),halafu huku kila kitu katika serikali ni shaghalabaghala na kila mtu afanya vyake kivyake holela na uchumu upo hoi,huku wananchi ndio kabisa,hata huduma za msingi ni shiiida.Nafikiri hilo ndilo baya zaidi.
Nadhani ni suala la priority zaidi kwa nchi na uongozi wake.Kuwa kipi ni cha muhimu zaidi/kwanza.
Tz kuna ikulu nzuri zaidi,ila Kenya kuna barabara si tu nzuri,nyingi na pana,ila pia ni toka zamani kiasi na ma-flyover mengi ya kufa mtu hadi maeneo ya nje ya miji.
Pia Kenya kuna viwanda vingi zaidi,vikubwa na vya namna mbali mbali.Nadhani haya ndio yanastahili kuzingatiwa kuwa taswira ya nchi,zaidi ya kakipande kadogo ka nchi mlimowekwa Ikulu.
 
Back
Top Bottom