nasrimgambo
JF-Expert Member
- Jan 10, 2017
- 1,902
- 2,488
kingine ikulu yetu ilijengwa na wajerumani, yao ilijengwa na waingereza, hivyo iko nje ya uwezo wetu na wao kusema tulijiamulia ikulu ziwe hivyoMazingira pamoja na majengo ya Ikulu ya Kenya ni ya kawaida sana
Ukiangalia hata ukumbi wa mikutano designed very poor compare to that of Ikulu ya Tanzania
Yaani Kama kusingekuwepo nembo ya harembee ungesema labda ni hostel
Take it as a challenge mbadilishe Ikulu wakenya Hiyo ndio taswira ya nchi
Ikulu ya Tanzania inavutia sana
na kuhusu bunge lao lilijengwa na waingereza, ila letu tumejenga wenyewe karne ya 21 hivyo kwa kuwa letu ni la juzi tu ni dhahiri litakuwa la kisasa