Tigo na Halotel ni shida mno kiongoziNimetoka huko leo internet haijawah nisumbua kwa airtel
Dodoma maeneo yapi ulipo Halotel inakosumbua?!Tigo na Halotel ni shida mno kiongozi
Mimi Pia Natumia Tigo KuperuziMkuu, mimi nipo Dodoma.
Hapa nilipo kwasasa natumia kuperuzi na nina reply huu uzi kupitia Tigo
Sent using Jamii Forums mobile app
Natumia halotel na iko vizuri sanaMimi ni mgeni Dodoma. Kwenye mitandao natumia zaidi Halotel na Tigo kutokana na unafuu wa gharama.
Nilipofika hapa internet inasumbua mno kiasi kwamba siwezi kustream na kuangalia video kwenye internet, wakati mwingine hata kuingia JF natakiwa kusubiri muda kidogo.
Awali nilijua simu imeharibika nikawa nafikiria kuidispose kabla ya kupata wazo la kujaribu Vodacom. Vodacom wana 4G kama Tigo lakini wako faster mno.
Nimeumia sana kwa sababu mimi sio mpenzi wa Vodacom kutokana na gharama zao. Kwa kweli Vodacom natumia M-Pesa tu.
Halotel na Tigo rekebisheni mapungufu haya, mnatuumiza wateja wenu.
Hapa Chang'ombe juu ni shida sanaNatumia halotel na iko vizuri sana
Ni shida sanaKuna jamaa yangu alinambia halotel inasumbua kule nikabisha, naona tena hapa.
Pole sana mkuu, hata Dar kuna baadhi ya maeneo hiyo Tigo ni changamoto.Hapa Chang'ombe juu ni shida sana
Labda ni tatizo la kiufundi eneo ulilopo. Kama hata tigo inasumbua basi ujue kuna tatizo hapo ulipoHapa Chang'ombe juu ni shida sana
Airtel situmii ndugu. Nilikuwa nayo 'COORPERATE LINE' Ilipotea nikajaribu kuswap hapa Dom. Nimesumbuka miezi 2 kuirudisha bila mafanikio. Nimegundua kurudisha cooperate line ya Airtel ni kazi kuliko kurudiana na mke mlie achana.artch2311,
Nimetoka huko leo internet haijawah nisumbua kwa airtel
Figo ndio kabisaaLabda ni tatizo la kiufundi eneo ulilopo. Kama hata tigo inasumbua basi ujue kuna tatizo hapo ulipo
Nakusudia wenye kampuni waboreshe huduma ni kituko sana kuwa na changamoto kama hizi hapa makao makuu ya nchiPole sana mkuu, hata Dar kuna baadhi ya maeneo hiyo Tigo ni changamoto.
Hivyo naomba usiibadili hii habari kwa kuharibu emage ya Dodoma
Sent using Jamii Forums mobile app
Tumia maji mengi,huwa yanasaidia.Figo ndio kabisaa
Majanga