Mkuu, tatizo watu wengi walio hamia Dom kutoka Dar... Nikama bado hawataki kuamini kwamba ndio tayari wamesha hamia, na kila lolote baya linapo jitokeza kwao kama changamoto basi wao kisingizio cha kwanza ni DodomaNatumia halotel na iko vizuri sana
Maini je?!?Figo ndio kabisaa
Majanga
Kwa hii comment, nahisi nikama vilea bado hautaki kukubaliana na Dodoma kuwa makao makuu ya nchi eehhh...!!??Nakusudia wenye kampuni waboreshe huduma ni kituko sana kuwa na changamoto kama hizi hapa makao makuu ya nchi
Asante ndugu. Bado naamini ulinielewa tu.Tumia maji mengi,huwa yanasaidia.
Natambua na nakubali.. ndio maana nashangaa inakuwaje nashindwa kufurahia kuwepo makao makuuKwa hii comment, nahisi nikama vilea bado hautaki kukubaliana na Dodoma kuwa makao makuu ya nchi eehhh...!!??
Sent using Jamii Forums mobile app
Noted!Asante ndugu. Bado naamini ulinielewa tu.
I meant Tigo and not Figo ... Typing error
Sawa mkuu, basi jaribu kuwa mvumilivu tu na usijidanganye kwamba kilakitu utakikuta sawa/kama ulivyo tarajia, for the name of makao makuu....Natambua na nakubali.. ndio maana nashangaa inakuwaje nashindwa kufurahia kuwepo makao makuu
Napo atakuja na kisingizio mkuu...
pia hata nzuguni inasumbua sanaHapa Chang'ombe juu ni shida sana
hahaaaaaaaaaa
Tumia maji mengi,huwa yanasaidia.
Nao ni TTCL na wa uhakika.Mitandao mingine inazidiwa sana na TTCL kwa sasa.
Figo za Luis (Luis Figo-former R.Madrid player)au mnyama gani?Figo ndio kabisaa
Majanga
Mimi ni mgeni Dodoma. Kwenye mitandao natumia zaidi Halotel na Tigo kutokana na unafuu wa gharama.
Nilipofika hapa internet inasumbua mno kiasi kwamba siwezi kustream na kuangalia video kwenye internet, wakati mwingine hata kuingia JF natakiwa kusubiri muda kidogo.
Awali nilijua simu imeharibika nikawa nafikiria kuidispose kabla ya kupata wazo la kujaribu Vodacom. Vodacom wana 4G kama Tigo lakini wako faster mno.
Nimeumia sana kwa sababu mimi sio mpenzi wa Vodacom kutokana na gharama zao. Kwa kweli Vodacom natumia M-Pesa tu.
Halotel na Tigo rekebisheni mapungufu haya, mnatuumiza wateja wenu.