Mbona internet ya Dodoma ni Vodacom tu?

Weeee hao halotel kwenye live streaming hapana umeongea uongo mkuu.
Mi nipo hapa Dar lakini network yao inanisumbua sana kuangalia mpira live na ninatumia line yao ya Royal.

Sent using mazonge yamezidi
 
Voda licha ukweli kwamba gharama zao ni kubwa ila kwenye ukweli tuseme tuu ..

Voda wako fasta sana kwenye internet katika mkoa wa Dodoma na sio mjini tuu bali hadi vijijini,

mi nina line ya tigo yenye Gb 10 lakini huwa hata siitumii nikiwa Dom maana inakwamakwama lakini voda haichagui pia nikiwa mkoa wowote Tz vodacom 4g inatenda haki kwa kasi ya ajabu japokuwa gharama ni kubwa sana Voda , wangerekebisha hapo wangekuwa hawashikiki.

Tigo wamewekeza nguvu zao Dar tuu, nje ya Dar tigo hamna kitu , ipo selective sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halotel ndo mtandao ambao unaweza kwenda hata vijijini na usikusumbue network sababu watumiaji ni wachache

Cc Nissan
 
Voda ni zaidi ya mashetani!Nina mpenzi wangu eneo alipo mitandao mingine ni shida so nikimnunulia bundle la 15000 hata wiki hamalizi!Wakati mimi natumia Halotel kwa wk ni 2000 tu tena nina enjoy kuperuzi internate vizuri mno
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio maana inaniuma sana. Hao jamaa wa voda ni majanga gharama zao sio za nchi hizi... Na kwa kweli kwa watu wengi tunatumia voda kwa sababu ya Mpesa wana network kubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…