Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,558
- 7,935
Mbona JWTZ haitoi pole wala vitisho kwa wauwaji wa October 29 au waliokufa ni punda.
Anasimama mtu anasema heti hajihusishi na siasa mpaka watu wanauliwa alafu wao na wanasiasa mafisadi wamekaa kimya ni vipi hapo hawajihusishi na siasa huu ni uchizi.
Jeshi liitwe jeshi la wanasiasa sio la wanamchi kwasababu limejificha katika sura ya wananchi lakini ni wanasiasa.
Kama kuna mafunzo ya kitaalamu na sio mguu pande mguu sawa kuna watu wataasi jeshini wakimfuata tesha.