Mbona JWTZ haitoi pole wala vitisho kwa wauaji wa Oktoba 29? Au waliokufa ni punda?

Mbona JWTZ haitoi pole wala vitisho kwa wauwaji wa October 29 au waliokufa ni punda.

Anasimama mtu anasema heti hajihusishi na siasa mpaka watu wanauliwa alafu wao na wanasiasa mafisadi wamekaa kimya ni vipi hapo hawajihusishi na siasa huu ni uchizi.

Jeshi liitwe jeshi la wanasiasa sio la wanamchi kwasababu limejificha katika sura ya wananchi lakini ni wanasiasa.

Kama kuna mafunzo ya kitaalamu na sio mguu pande mguu sawa kuna watu wataasi jeshini wakimfuata tesha.
Inasikitisha sana.
 
Naanza kumuelewa Andrew Nyerere.. Kuna kanamna kwa hawa wajomba sio bure
 
Na hii ndio sababu siungi mkono D9, tumeona vijana walivyokufa wengi, jeshi letu tuliloamini litalinda waandamanaji liliwatelekeza. Je linajali? Linasikitika? Kuna kitu lingeweza kufanya ili vifo visiwe vingi kiasi kile? Wana mipango yoyote ya kuzuia vifo kwenye maandamano yajayo? Kiufupi ni kwamba they don't give a damn!
 
Wao wenyewe wanashughulikiwa kimya kimya na kikosi cha Abdul kinachoongozwa na wanamtandao.

Yule mstaafu ni mkubwa kuliko cdf
Kuna uzi nilileta hapa Nilisema tukomboe vyombo vya dola kutoka mikono mwa wahuni
 
Lawama zote ziende kwa General Mkunda kwa kuwaita raia wanaopambania haki katika Taifa "Wahalifu"!

Aibu kwake!
Huyu ni mtu ovyo sana inatakiwa tukomboe vyombo vya dola kutoka mikononi mwa wahuni visitumikie wahuni
 
Na hii ndio sababu siungi mkono D9, tumeona vijana walivyokufa wengi, jeshi letu tuliloamini litalinda waandamanaji liliwatelekeza. Je linajali? Linasikitika? Kuna kitu lingeweza kufanya ili vifo visiwe vingi kiasi kile? Wana mipango yoyote ya kuzuia vifo kwenye maandamano yajayo? Kiufupi ni kwamba they don't give a damn!
D9 ndo siku ya kukomboa vyombo vya dola kutoka mikononi mwa wahuni
 
Kuna uzi nilileta hapa Nilisema tukomboe vyombo vya dola kutoka mikono mwa wahuni
Tukipuuza wito wako vyombo vya dola vitageuka kuwa vyombo vya mtu. Na akina kapteni Tesha watauawa.
 
Vinatakiwa vikombolewe vyote Sio Tiss sio JWTZ sio mahakama sio DPP sio Bunge hizi zimegeuka kua mali ya wahuni baada wananchi wote
 
Mbona JWTZ haitoi pole wala vitisho kwa wauwaji wa October 29 au waliokufa ni punda.

Anasimama mtu anasema heti hajihusishi na siasa mpaka watu wanauliwa alafu wao na wanasiasa mafisadi wamekaa kimya ni vipi hapo hawajihusishi na siasa huu ni uchizi.

Jeshi liitwe jeshi la wanasiasa sio la wanamchi kwasababu limejificha katika sura ya wananchi lakini ni wanasiasa.

Kama kuna mafunzo ya kitaalamu na sio mguu pande mguu sawa kuna watu wataasi jeshini wakimfuata tesha.
ipo siku ataingia adui na raia watasimama na adui , raia atatoa siri zote za nchi maana wao muda huu raia wanahitaj hata kusikia saut yao ila wamejitenga na raia , upo wkt wao wanahitaj kuwasikia raia wakiwafarij ila raia watawapa kisogo na kuwazingatia maadui

Tukose wote
 
Mbona JWTZ haitoi pole wala vitisho kwa wauwaji wa October 29 au waliokufa ni punda.

Anasimama mtu anasema heti hajihusishi na siasa mpaka watu wanauliwa alafu wao na wanasiasa mafisadi wamekaa kimya ni vipi hapo hawajihusishi na siasa huu ni uchizi.

Jeshi liitwe jeshi la wanasiasa sio la wanamchi kwasababu limejificha katika sura ya wananchi lakini ni wanasiasa.

Kama kuna mafunzo ya kitaalamu na sio mguu pande mguu sawa kuna watu wataasi jeshini wakimfuata tesha.
Which Jeshi?
Hatuna jeshi jmn
 
Back
Top Bottom