Mbona JWTZ haitoi pole wala vitisho kwa wauaji wa Oktoba 29? Au waliokufa ni punda?

Genius Man

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2024
Posts
3,558
Reaction score
7,935
Mbona JWTZ haitoi pole wala vitisho kwa wauwaji wa October 29 au waliokufa ni punda.

Anasimama mtu anasema heti hajihusishi na siasa mpaka watu wanauliwa alafu wao na wanasiasa mafisadi wamekaa kimya ni vipi hapo hawajihusishi na siasa huu ni uchizi.

Jeshi liitwe jeshi la wanasiasa sio la wanamchi kwasababu limejificha katika sura ya wananchi lakini ni wanasiasa.

Kama kuna mafunzo ya kitaalamu na sio mguu pande mguu sawa kuna watu wataasi jeshini wakimfuata tesha.
 
JWTZ ni kama TISS AU POLISI TU hawana maajabu have been compromised.
 
Wao wenyewe wanashughulikiwa kimya kimya na kikosi cha Abdul kinachoongozwa na wanamtandao.

Yule mstaafu ni mkubwa kuliko cdf
 
Hicho ni kikundi cha wahuni chini ya mkunda
 
NCHI hii vyombo vyote vya ulinzi na usalama vipo Kwa ajili ya kulinda CCM na machawa wake ndio maana Nchi ipo Dilemma.
 
Kabla ya mauaji walisema WANARUDHISHWA NA UTENDAJI KAZI WA POLISI,baada ya mauji wakaanza kutembea na bunduki na fimbo,nawaona hapa.
 
Mkuu wa polisi wa pale bandari amesema zile video ni AI
 
"wazalendo" wanapukutishwa,
 
Je ukimya uliotanda ndani ya JWTZ na mauwaji ya wananchi yaliyofanyika ni udhaifu na kujaribu kuungamkono waliotekeleza vifo ?

Je, majeshi ya nchi jirani yanatuanaje tujiulize ?
 
Je ukimya uliotanda ndani ya JWTZ na mauwaji ya wananchi yaliyofanyika ni udhaifu na kujaribu kuungamkono waliotekeleza vifo ?

Je, majeshi ya nchi jirani yanatuanaje tujiulize ?
Accomplices in law! Wametu betray bsana. Haikutwgemewa.
Wanadhani Tanganyika nhaiwahusi. Wajinga sana. Tuliwaamini sana
 
NCHI hii vyombo vyote vya ulinzi na usalama vipo Kwa ajili ya kulinda CCM na machawa wake ndio maana Nchi ipo Dilemma.
Na hili alilizungumza Samuya kwa uwazi na kujiamini kabisa kwamba yeye ni mkuu wa vyombo VYOTE nya ulinzi hakutakuwa na nywi×4, watu wakapige kura.
Hii kauli ilimaanisha vikosi vyote vya ulinzi(ikiwemoJWTZ) walishiriki kulinda kura.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…