Mbona kalenda za picha ya mama hazipo mitaani na anakubalika 97%

The Phylosopher

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2015
Posts
2,471
Reaction score
3,768
Nimekutana na machinga wauzao kalenda mitaani akinionyesha kalenda yenye picha ya mwl Nyerere, Magufuli,
Cha ajabu nilipomuuluzia picha ya mama akaniambia hiyo picha licha ya kuwa haiwezi kuuzwa lakni unapopita nayo mitaani unatakiwa kuwa na tahadhari sana.

Inavyoonekana sijui ni nani anampenda mama?
Maana hata wenye chama chake hawataki kumiliki kalenda zake
 
omekuuwa ikiniwazisha sana kupendwa kwa bimkubwa wetu kwa wingi wa asilimia zile ni kwa wananchi wa wawapi.
labda ni eneo letu hawampendi.

lakini pia nipo mkoa mwingine nako hawamtaji wala kutaka kumsikia, na mkoa mwingine nilikokuwa hivi karibuni navyo hivyo hivyo .

sijajua nj wananchi wa wapi wanampenda kwa kweli.
 
Nimekutana na machinga wauzao kalenda mitaani akinionyesha kalenda yenye picha ya mwl Nyerere, Magufuli,
Cha ajabu nilipomuuluzia picha ya mama akaniambia hiyo picha licha ya kuwa haiwezi kuuzwa lakni unapopita nayo mitaani unatakiwa kuwa na tahadhari sana.

Inavyoonekana sijui ni nani anampenda mama?
Maana hata wenye chama chake hawataki kumiliki kalenda zake
Kumbe bado kalenda zinatumika?
 
Hii nayo ni sera ya kuwapeleka ikulu?

Daaaah, akili hizi!
Kwani huyui kwamba mtu kuwa ikulu ni lazima akubalike na walio wengi kama wananchi hawana ujasiri wa kupost picha zake huyu anakubalika na nani waliompeleka ilkulu kama sio kwamba alijipeleka mwenyewe
 
Nimekutana na machinga wauzao kalenda mitaani akinionyesha kalenda yenye picha ya mwl Nyerere, Magufuli,
Cha ajabu nilipomuuluzia picha ya mama akaniambia hiyo picha licha ya kuwa haiwezi kuuzwa lakni unapopita nayo mitaani unatakiwa kuwa na tahadhari sana.

Inavyoonekana sijui ni nani anampenda mama?
Maana hata wenye chama chake hawataki kumiliki kalenda zake
Swali kwako Lucas,Tlatlah,Funuku,insinct desere,choicevariablena chawa wenu akina asemewe na wapuuzi wote wengine jibuni hoja ya mzalendo muuliza swali
 
Nimekutana na machinga wauzao kalenda mitaani akinionyesha kalenda yenye picha ya mwl Nyerere, Magufuli,
Cha ajabu nilipomuuluzia picha ya mama akaniambia hiyo picha licha ya kuwa haiwezi kuuzwa lakni unapopita nayo mitaani unatakiwa kuwa na tahadhari sana.

Inavyoonekana sijui ni nani anampenda mama?
Maana hata wenye chama chake hawataki kumiliki kalenda zake
Dah, hatari sana.
 
Back
Top Bottom