The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 2,471
- 3,768
Kumbe bado kalenda zinatumika?Nimekutana na machinga wauzao kalenda mitaani akinionyesha kalenda yenye picha ya mwl Nyerere, Magufuli,
Cha ajabu nilipomuuluzia picha ya mama akaniambia hiyo picha licha ya kuwa haiwezi kuuzwa lakni unapopita nayo mitaani unatakiwa kuwa na tahadhari sana.
Inavyoonekana sijui ni nani anampenda mama?
Maana hata wenye chama chake hawataki kumiliki kalenda zake
Napenda amani ila kutulaghai kwamba mtu anakubalika kwa asilimia 97 wakati mnajua sio kweli inachangia sana kuondoa amaniTupende amani
Kwani huyui kwamba mtu kuwa ikulu ni lazima akubalike na walio wengi kama wananchi hawana ujasiri wa kupost picha zake huyu anakubalika na nani waliompeleka ilkulu kama sio kwamba alijipeleka mwenyeweHii nayo ni sera ya kuwapeleka ikulu?
Daaaah, akili hizi!
Zipo kwani nani kazifutaKumbe bado kalenda zinatumika?
Tumfitinishe kivipi huku kitaa mama kachokwa balaaSi kweli.Mnamfitinisha tu.Zichapishwe na kuuzwa.
Ndo maana kajipekeka ilkuluMama anaupiga mwingi
Ndiyo, serekali ya CCM iache kuratibu utekaji na upotevu wa raiaTupende amani
Nimeuliza tuZipo kwani nani kazifuta
Labda zigaiwe bure!Si kweli.Mnamfitinisha tu.Zichapishwe na kuuzwa.
Swali kwako Lucas,Tlatlah,Funuku,insinct desere,choicevariablena chawa wenu akina asemewe na wapuuzi wote wengine jibuni hoja ya mzalendo muuliza swaliNimekutana na machinga wauzao kalenda mitaani akinionyesha kalenda yenye picha ya mwl Nyerere, Magufuli,
Cha ajabu nilipomuuluzia picha ya mama akaniambia hiyo picha licha ya kuwa haiwezi kuuzwa lakni unapopita nayo mitaani unatakiwa kuwa na tahadhari sana.
Inavyoonekana sijui ni nani anampenda mama?
Maana hata wenye chama chake hawataki kumiliki kalenda zake
Dah, hatari sana.Nimekutana na machinga wauzao kalenda mitaani akinionyesha kalenda yenye picha ya mwl Nyerere, Magufuli,