Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mafisango, Pale maeneo ya VETAAaah namkumbuka bloo wangu mngoni enzi hizo,,,ushauri wake mdada akileta senema senema we tooo.......a tu......mengine watajua wenyewe...........we mani Azizi Ki we watoo.......e tu......kikubwa usigawe password yasije yakakukuta yale ya jamaa wa simba aliefariki kwa ajali
Alichovya shimo sio..............wahuni wanawindaga sana nyota za wachezajiMafisango, Pale maeneo ya VETA
Hakuna kitu, mondi mwenyewe kala makombo ya majizo.Ila diamond kweli simba
kila Ex-wake watu wanamuona Gold!
Haina makombo hiyo hakuna cha gold wala nini, mbona yeye alimpata baada ya bibie kutoka kwa mmiliki wa redio, na vp kuhusu zali alimkuta vp? ww ukimpata piga then sepa.Ila diamond kweli simba
kila Ex-wake watu wanamuona Gold!
Umeongea ukweli kwa mfano Wema alianzia kwa kanumba, Jokate yeye Hasheem Thabit, Zari yeye alianzia kwa Ivan etc.Hakuna kitu, mondi mwenyewe kala makombo ya majizo.
Kiufupi mondi hana demu yeyote classic aliyemzindua mwenyewe...kote kala makombo tu ya wahuni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona anafanana na BamboOya nyie vijana wageni mnaotoka na wanawake classy embu acheni kuonesha mnaweweseka public.
Hapa Hamisa ana muinjoy tu Ki. Huyu Hamisa ana akili sana. Ampopoe tu.
View attachment 3059077
Duh labda yule wa kenyaHakuna kitu, mondi mwenyewe kala makombo ya majizo.
Kiufupi mondi hana demu yeyote classic aliyemzindua mwenyewe...kote kala makombo tu ya wahuni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Amejipiga siment ya hatari usoni. Sipati picha mvua ikimnyesheaHuyu muuza nani aliyeji upgrade
Alafu mbona dem mwenye wa kawaida sana....ushamba tu wa
Wanaume kwake
Ova
Hamisa ni mjasiliamali tu kama walivyo modemu wengi wa kibongo, anakinadi vizuri kipochi manyoya yake huku akipewa support na mama yakeOya nyie vijana wageni mnaotoka na wanawake classy embu acheni kuonesha mnaweweseka public.
Hapa Hamisa ana muinjoy tu Ki. Huyu Hamisa ana akili sana. Ampopoe tu.
View attachment 3059077
Tanasha DonaHakuna kitu, mondi mwenyewe kala makombo ya majizo.
Kiufupi mondi hana demu yeyote classic aliyemzindua mwenyewe...kote kala makombo tu ya wahuni.
Sent using Jamii Forums mobile app