Mbona kama Aziz Ki anaweweseka kukaa karibu na Hamisa?

Mbona kama Aziz Ki anaweweseka kukaa karibu na Hamisa?

Ngono na mpira haviendi pamoja

Mpira ni issue ya AKILI zaidi so ntashangaa MTU mwenye exposure kubwa ya MAISHA and talented Ku-lose focus kwa hawa waswahili .
 
Katika wanawake wenye huruma bongo basi Hamisa na Zaylisa wanaongoza
 
Nakumbuka enzi za balehe aliwahi kuja gheto demu mmoja denti.,

Sasa ikawa sijuwi nianze je kuomba mchezo,,
Nikawa najizungusha mara nawasha tv mara nabadilisha video tape,,
Najichekesha hovyo bila sababu ya msingi...

Hadi denti wa watu akasepa zake baada ya kukaa nae masaa kadhaa chumbani.,bila kumwbiya chochote cha mapenzi.
Wote ulikuwa ni uoga wangu na kutokuwa na experience na mambo ya wanawake..

Ukija ktk uhalisia wa penzi la hamisa na Aziz k,
Hamisa ni muhuni mzoefu ktk kudanga na Aziz k bado anamwogopa hamisa.

Ukute hadi sasa Aziz k bado hajapewa mbunye na ameshapigwa pesa kibao.
 
Back
Top Bottom