Mbona kama CHADEMA imepoa baada ya uchaguzi wao wa ndani

Mbona wewe kila siku unaazisha nyuzi zaidi ya kumi kuihusu Chadema kwanini usiandike kuhusu ACT Wazalendo yako au CUF? Huoni kuwa unajipinga mwenyewe? Au na wewe ni mfu ndiyo maana unaandika habari za chama mfu? Tumia akili kufikiri badala ya kinyeo.
Ssbabu lissu alikuwa na kidomokidomo sana kwamba yeye ni general
 
anawashwawashwa mshenzi huyo, kutwa kuiandika chadema vibaya
Mshenzi tena? BAVICHA kweli kapu la matusi, Mbowe hatawasahau. Mimi kuandika vibaya chadema unakasirika wakati hata senti 1 huchangii chadema. Mbowe aliekuwa anatoa bilioni za shilingi mlimtukana mpaka akajishika kichwa
 
Watu kama hao ukiwakuta mtaani ni CHADEMA damu na kutwa kumpiga madongo Samia. Ila humu wanakandia CHADEMA ili watoto waende chooni.
Nikaepende chadema tena? Watu wa vurugu na fujo?
 
Mbowe Alikuwa anajua pesa atoe wapi za kulipa mishahara

Lisu hajui

Wakati wa Mbowe haikuwa shida kuwalipa
Huko kujua pesa utoe wapi wakati hiyo ni taasisi na siyo familia yako ndo kutokufaa kuwa kiongozi ilitakiwa chama kiwe na utaratibu usiomtegemea mtu mmoja
 
Kama timu ya soka inamfamdhili mkuu, seuze chama cha siasa? Ngojeni muone chama kinavyoenda kufa. Lissu kutoa shilingi yake kununua maji hataki
 
Mshenzi tena? BAVICHA kweli kapu la matusi, Mbowe hatawasahau. Mimi kuandika vibaya chadema unakasirika wakati hata senti 1 huchangii chadema. Mbowe aliekuwa anatoa bilioni za shilingi mlimtukana mpaka akajishika kichwa
kaandike na kwingine, ya chadema hutayaweza utashindwa kama kawaida. Hebu tulia
 
Kama timu ya soka inamfamdhili mkuu, seuze chama cha siasa? Ngojeni muone chama kinavyoenda kufa. Lissu kutoa shilingi yake kununua maji hataki
Mbowe ni mwizi alitumia chama kujinufaisha kaondoka akiwa amekifilisi
 
Kama timu ya soka inamfamdhili mkuu, seuze chama cha siasa? Ngojeni muone chama kinavyoenda kufa. Lissu kutoa shilingi yake kununua maji hataki
ccm haikufa ndio chadema ife? Hebu tafuta mada za kuandika achana na kuikandia chadema utashindwa. Usiwe mtambo wa kufua upupu kwa chadema chama kikuu cha upinzani kinachojielewa na kujitambua
 
Back
Top Bottom