- Thread starter
- #21
Ssbabu lissu alikuwa na kidomokidomo sana kwamba yeye ni generalMbona wewe kila siku unaazisha nyuzi zaidi ya kumi kuihusu Chadema kwanini usiandike kuhusu ACT Wazalendo yako au CUF? Huoni kuwa unajipinga mwenyewe? Au na wewe ni mfu ndiyo maana unaandika habari za chama mfu? Tumia akili kufikiri badala ya kinyeo.