Mbona kama Diamond anatuchezea akili zetu

Mbona kama Diamond anatuchezea akili zetu

Ujinga ni pale mtu anapiga pesa pasipo kutegemea usaidizi wako.

Alafu wewe unakazana kumuombea mabaya.
 
Hahaa we kaache xaiv kameona tembele nyumbn linachemka ndo maana kameanz kufny usenge wake kana bahat gwajim angekarudixha tandale
kwa kuwa huyo gwajima ndie Mungu mtoa rizki au una maanisha nini?
 
Ukiona diamond kakosea nenda we studio karecord wako hela ntakulipia.Mbona kila mtu anataka kumpanda mond kichwan.
 
Wabongo hamuishi maneno kilakitu nyinyi nikulaumu tu .wewe uljtaka
Akuimbe wewe basi
 
Mnajipa ukubwa Eti akuchezee akili!!
wewe nani!?
Diamond kafikisha ujumbe
hajamtukana mtu wala kumsema mtu vibaya
Hizo chuki zenu zitawapeleka kubaya nini!!
Tunajua mnapenda kutafuta kiki kupitia Kijana huyu
kila mtu akiitaji kutoka lazima Amchokonoe Diamond
Sometyme weka uchama pembeni nailo jina lako la sugu ...af ww snitch
 
Ukiona diamond kakosea nenda we studio karecord wako hela ntakulipia.Mbona kila mtu anataka kumpanda mond kichwan.
Mbona kuna mtu kasharekebisha makosa. Wimbo mzuri kuliko original. Unafurahisha mpaka watoto. Sijajua kisheria inasimamaje. Labda Dai alikuwa hajaweka copyright katika harakati za ku release single.
 
Hivi Pogba yuko wapi? Sijasikia taarifa zake kwa muda mrefu.
 
Diamond hashuki hata Mara moja hata nafanya je. Yule ni hardworking na risk taker. Don't play with these two talents. Nyie na akili zenu za kubwebwa na manabii fake mtasubiri sana
 
hawa UKAWA huwa wanadhani kila mtanzania anawaza kama wao. endeleeni na majungu sie tunazindua ujenzi wa Standard Gauge kesho Jumatano.

Roma katekwa, Roma katekwa, sasa tufanyeje.? Kina Sokoine, Imrani Kombe, Kolimba, Karume Senior walikufa kabisa sembuse Roma kutekwa.

Dr. Ulimboka yupo wapi.? Kuna mtu alitikisa habari kama Ulimboka.? kama hutaki shida we kaa zako kimya, achana na serikali utaumia bure. Mnamuona Diamond mjinga kujikalia kimya.? aache kula bata na warembo wazuri akahangaike kusigana na serikali.? nyie UKAWA vipi, kama la Roma limekuuma sana, si uimbe wimbo na wewe tujue, usimlazimishe Diamond aimbe unachokiwaza wewe.
 
Back
Top Bottom