binjo
JF-Expert Member
- Feb 22, 2016
- 2,115
- 1,247
Sijaona kitu cha kunirudisha hapo... humu humu kuna walimu.Rudi kwanza shule, hajaladhimisha ndio kitu gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijaona kitu cha kunirudisha hapo... humu humu kuna walimu.Rudi kwanza shule, hajaladhimisha ndio kitu gani?
Keshachanganya na zake katoa remix yake isikilizeWatu wanamtetea Diamond kuwa eti nyimbo nzuri maana ameongelea mambo mengi mi sijaona alichoongelea zaidi ya kutoa taarifa ambazo hata mtoto mdogo anazijua
Remix ile si yake mkuu katoa mwingine.Keshachanganya na zake katoa remix yake isikilize
Ahsante kwa taarifa mkuu.Remix ile si yake mkuu katoa mwingine.
Anapata hasira hapocover ya wimbo huo ndo kali aisee
kwa kuwa huyo gwajima ndie Mungu mtoa rizki au una maanisha nini?Hahaa we kaache xaiv kameona tembele nyumbn linachemka ndo maana kameanz kufny usenge wake kana bahat gwajim angekarudixha tandale
HAHAHAH!VIPI MKUU NAONA UMEONGEA KWA UCHUNGU KWELIKamepata hela kameanza dharau, we kaache tu
Sometyme weka uchama pembeni nailo jina lako la sugu ...af ww snitchMnajipa ukubwa Eti akuchezee akili!!
wewe nani!?
Diamond kafikisha ujumbe
hajamtukana mtu wala kumsema mtu vibaya
Hizo chuki zenu zitawapeleka kubaya nini!!
Tunajua mnapenda kutafuta kiki kupitia Kijana huyu
kila mtu akiitaji kutoka lazima Amchokonoe Diamond
Mbona kuna mtu kasharekebisha makosa. Wimbo mzuri kuliko original. Unafurahisha mpaka watoto. Sijajua kisheria inasimamaje. Labda Dai alikuwa hajaweka copyright katika harakati za ku release single.Ukiona diamond kakosea nenda we studio karecord wako hela ntakulipia.Mbona kila mtu anataka kumpanda mond kichwan.
Wivu tu kwa Diamond, fanya kazi kwa bidii unaonaje mafanikio kama Domo anavyoonaWewe koma kunizoea, tafuta mwanaume mwingine wa kumzoea sio mimi