Mbona kama Dualis zinaanza kushuka?

Kazi yangu ni kuuza magari but mteja akinipaga option ya kumchagulia gari huwa naiweka mbal sana hyo gari sabab lawama dakika 2 tu

mwanangu kaigiaza kwa 21m
Aliweka mafuta hizi petro station uchwara

Ikaana kumiss,mara chech engine gari imebadilika total

Kaambiwa mafuta machafu

Asee wenye dualis kuweni makini na fuel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…