Mbona kama Dualis zinaanza kushuka?

Mbona kama Dualis zinaanza kushuka?

Umeionea Juke haina shepu mbaya ila hazishuki bei zipo juu mno,sasa shep ya Juke ndio utafananisha na Dualis au Subaru forester???
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuwa serious kidogo basi. Hivi Juke ni shape ya gari aiseee? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ile gari mtoto akiwa mjeuri ukamletea mbele yake ukalizimua mtoto anazimia.

Ile gari ukiweka mkia nyuma na masikio kwa juu, Ngiri huyu hapa.

Ile gari ukikutana nayo usiku huku unaweza dhania ni gari ya yule jini anaitwa jeepers Creepers.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Du wewe noma,gari gani nzuri kwako IST sio???
 
Back
Top Bottom