Boeing 747
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 3,515
- 9,415
Suala la gear box mkuu siwezi kulisemea sana kwa sababu mimi binafsi sijawahi kukutana Na Dualis yenye shida ya Gear box...Kwenye umeme sawa nimekuelewa, vipi na kuhusu hiyo gear box ambayo wadau wanasema ni kimeo?
Isipokuwa kuna baadhi ya model flani ya gari inaweza ikatoka kiwandani ikiwa na tatizo lake common, mfano hear box..
Ila watumiaji wakiwasilisha malalamiko, mtengenwzaji anaboresha kwenye model inayofuata