polokwane
JF-Expert Member
- Dec 16, 2018
- 3,361
- 5,842
Hiyo gari tangu imeingia sokoni haijawahi kushukuka kuanzia yard hadi za kumvua mtu sijui zinanini hizo gariVipi Toyota rush
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo gari tangu imeingia sokoni haijawahi kushukuka kuanzia yard hadi za kumvua mtu sijui zinanini hizo gariVipi Toyota rush
Binafsi huwa najiuliza sana, sijui ni kwa sababu zipo juu, maana gari za toyota ambazo ni SUV hazishikikiHiyo gari tangu imeingia sokoni haijawahi kushukuka kuanzia yard hadi za kumvua mtu sijui zinanini hizo gari
Hazina tatizo. Watu wanazichokonoa kwa kufunga funga mavitu ambayo yanaongeza mzigo kwenye system ya umeme na hatimae shoti inatokea.Dualis Zina tatizo la kuungua moto
MmmmmmhmnShow room linauzwa 22m hadi 25m, ukilitumia miezi miwili tu ukitaka kuliuza bei ni kuanzia 18m kushuka chini na wahitaji wamepungua mno.
Hii gari ukiachana na kuungua huwa linapungua nguvu gear box ikipata moto, hata ku overtake inakuwa shida. Hakuna gar humo
Ikiwa hiamini limiliki utakuja kusadiki ninachokisemaMmmmmmhmn
Huu uzi uishie hapa. Ni sawa na wanafunzi mliulizwa swali kila mtu kabwabwaje yakwake. Halafu mwisho kabisa kaja ticha mwenye somo kaja kutoa jibu lenyewe ambalo ndilo linalotakiwa kwenye swali.Naona watu wengi wanmezungumzia suala la Nissan dualis kuungua...
Binafsi nimeona video kadhaa mtandaoni hizi gari zikiungua, na zote nilizoona ni hapa hapa Tz.
Nimefuatilia mitandaoni kujua shida ni nini,
Lakini miongoni mwa "common issues" za hii Nissan, suala la kuungua halipo huko kwa wenzetu..
Issue ya hizi gari kuungua inaonekana ni Common hapa Tanzania...WHY?
Sisi mainjinia wa Kitanzania ndiyo tunazikosea hizi gari..
Hizi gari zina wiring system ambayo ni Delicate sana..au Senstive sana..
Wiring ya hii gari haitaki Modification zisizozingatia utaalamu wa haki ya juu na vifaa vyenye ubora..
Sisi tukishaagiza Dualis, inapelekwa kwa Injinia wa Kitanzania aliyefeli darasa la 4, anakufungia Android radio, fog lamps na mataa taa ya kichina...hawa minjia wetu wanachukua umeme sehemu yoyote wanpoona waya una umeme pasipo kujua huu umeme unaemda wapi na una uwezo kiasi gani, na huko huo umeme ulipotoka umetoka kweny kifaa gani..HILI NI TATIZO..
Mfumo wa umeme wa magari mengi ya Nissan ni tofauti sana na Toyota..Kwenye nissan nyingi kuna kifaa maalumu ya kufanya Monitoring ya mtiririko wa umeme kwa kila sakiti...hapa fundi maiko lazima akuchomee hii gari, penda usipende...
Kuna Nissan Quashqai ambayo ni sawa na Dualis, ni namba A naifahamu na bado inadunda barabarani...
Ukiwa na dualis, ukitaka kufanya modifications za umeme, angalia fundi unayemtumia...tofauti na hapo iache kama ilivyokuja..
Jiulize kwa nini haziungui zikiwa huko Japan,China,Dubai, Hongkong, bali zikifika tu Tanzani ndiyo zinakuwa ni Mbovu na kuaanza kuungua...TATIZO NI SISI.
Kwa mazingira ya Bongo, siwezi kumshauri mtu anunue hili gari, kwa sababu mafundi wa Vitz watalichokonoa, na utalia.
Nawasilisha
Utasemaje uzi uishie hapa hali yakuwa mdau kaongelea upande wa kuongezq vitu vya umeme tu? Hizi gari zina tatizo la gearbox kupungua nguvu kadiri inavyopata moto, hilo hamlizungumzii mmekazana na swala kuungua tu.Huu uzi uishie hapa. Ni sawa na wanafunzi mliulizwa swali kila mtu kabwabwaje yakwake. Halafu mwisho kabisa kaja ticha mwenye somo kaja kutoa jibu lenyewe ambalo ndilo linalotakiwa kwenye swali.
Kimsingi watanzania wengi huwa katika vitu vingi ni wafuata mkumbo. Ni watanzania wachache atakaa ajifunze kitu akielewe. Si kwenye ujenzi, si kwenye madawa si kwenye mavazi, si kwenye magari.
Yaani mtu kabla hajafanya maamuzi ya kununua bidhaa au kutumia huduma fulani kwanza ataangalia je ni watu wangapi wanatumia au kununua bidhaa husika. Anakwenda na upepo wa wengi ndio wapo sahihi.
Ukitaka kuona mifano halisi tazama kwenye ununuzi wa bidhaa kama za simu, mtu anajifosi kununua iphone ila hajui features za iphone na anatumia available features kwa 20% tu. Kupiga, kupokea simu, sms na Whatsapp vitu vingine analalamika kuwa simu ngumu. Ila shida alitaka aonekane na yeye anakwenda na wakati kutumia iphone.
Mwingine ananunua king'amuzi cha Azam sababu watu wengi wananunua ila deep down hafurahii channel packages zake. Vitu anavyotaka vipo DSTV ila anajipa taboo ya kununua DSTV sababu watu wengi wanasema ni gharama ila kumbe anaweza imudu sema ni kufuata mkumbo kuna mgharimu.
Wapo watu wanatumia hizi Nissan Dualis tokea miaka ya 2010 huko mimi naziona na ni namba B na namba C. Ila zipo vizuri tu.
Shida ya wabongo kwanza sio wafuatiliaji wa taarifa sahihi za vitu wanavyomiliki. Mtu unatumia gari ila hajui hata manufacturer ni taifa gani, kiwanda kinaitwaje, designer ni nani, engineer ni nani, gari ni ya mwaka gani, matoleo yapo mangapi, gari haitaki nini na ina Taboos gani katika kuitumia na unatakiwa kuishi nayo vipi.
Wao wameshazoea kuyaonea magari ya toyota sababu mengi huwa yanatengenezwa very simple hayana mambo mengi na hivyo kuonekana hayana gharama.
Kimsingi hizi gari zisingekuwa bora wasingetengeneza nyingi hivi na zisingekuwa zinakuja na milage kubwa kiasi hiki.
Wabongo wazembe sana na wavivu wa kujifunza.
Toyota zenyewe zimeanza kuwashinda. Toyota za miaka hii zinakuja na gear box kama hiyo ya Nissan Dualis. Gari za Toyota kama Vits, Vanguard, Noah, Rumion, zinakuja na gear box kama ya Nissan Dualis ambayo sio ile ya kawaida.......mkuu upo sahihi kabisa asilimia kubwa ya malalamiko ya hitilafiu za magari huwa inakuwa ni Tanzania, Sasa unajiuliza hizi gari huko zimetumika zaidi ya kilometers laki moja, lakini likija bongo hata km 5000 hazifiki tayari gia box shida then gari inaungua, nadhani changamoto kubwa ni kutaka kuyatreat magari ya brand zingine kwa style ya toyota, na hata hizi toyota mifumo ya umeme inaenda ikibadilika kuendana na technology mpya, hivyo sio muda mrefu pia nayo yataanza kutushinda......
Zinaungua zikifika Tz tu, mbona huko nje zimetumika miaka zaidi ya 12 na haziungui?Dualis Zina tatizo la kuungua moto
Mbona tunazitumia huku mtaani rafiki yangu anayo na wala sijamsikia kulalamika jui ya kupungua nguvu. Gear box ina special Lubricant yake ukijimix inakula kwako.Utasemaje uzi uishie hapa hali yakuwa mdau kaongelea upande wa kuongezq vitu vya umeme tu? Hizi gari zina tatizo la gearbox kupungua nguvu kadiri inavyopata moto, hilo hamlizungumzii mmekazana na swala kuungua tu.
Mm hyo gari naijua, iliungua ikiwa haijafungwa hvyo vtu mlivyo sema wala kuongezwa chochote cha zaidi, ilidumu mwezi tu ikaungua yote.
Kama huna safari ndefu chukua, ila kama ni mtu wa safari ndefu haikufai, linapopungua nguvu huwa linakula mafuta balaa. Elezeeni changamoto za hii gari na sio kulitetea kisa mnayauza.
Acha kutete gari lenye mapungufu, nilishafanya service kwa jamaa yule wa sinza anajiita mr dualis lakini mambo ni yale yale tu, kama ni gari yako ya kwanza kuimiliki basi hutaelewa tunachokizungumza gapa, kwann isilalamikiwe xtail second generation? Jiulize.Mbona tunazitumia huku mtaani rafiki yangu anayo na wala sijamsikia kulalamika jui ya kupungua nguvu. Gear box ina special Lubricant yake ukijimix inakula kwako.
Acha kutete gari lenye mapungufu, nilishafanya service kwa jamaa yule wa sinza anajiita mr dualis lakini mambo ni yale yale tu, kama ni gari yako ya kwanza kuimiliki basi hutaelewa tunachokizungumza gapa, kwann isilalamikiwe xtail second generation? Jiulize.
Hii gari kizuri kwake ni body tu
Hii gari inatatizo pia la kuporomoka roof na kupasuka mtungi wa coolant reserve tank, kataa na hyo pia.Mkuu hamna gari maintenance proof, ila gari huaribika kutokana na historia ya matengenezo tangu ikiwa mpya, inawezekana gari yako haikua properly maintained au fundi unaemtumia kimeo (mafundi wa Instagram), but in general Dualis ziko bomba tuu
Mkuu hapa hakuna mtu aliyetetea hilo gari...Utasemaje uzi uishie hapa hali yakuwa mdau kaongelea upande wa kuongezq vitu vya umeme tu? Hizi gari zina tatizo la gearbox kupungua nguvu kadiri inavyopata moto, hilo hamlizungumzii mmekazana na swala kuungua tu.
Mm hyo gari naijua, iliungua ikiwa haijafungwa hvyo vtu mlivyo sema wala kuongezwa chochote cha zaidi, ilidumu mwezi tu ikaungua yote.
Kama huna safari ndefu chukua, ila kama ni mtu wa safari ndefu haikufai, linapopungua nguvu huwa linakula mafuta balaa. Elezeeni changamoto za hii gari na sio kulitetea kisa mnayauza.
Mmm ninachokataa ni wamiliki kutupiwa lawama kwa asilia zote, binafsi nilinunua na ikadumu mwezi kabla haijaungua yote na haikuwa imeongezwa chochote kile. Labda uneniambia maswala ya hali ya hewa kidogo ningekuelewa.Mkuu hapa hakuna mtu aliyetetea hilo gari...
Watu wengi wamejikita kuwa linawaka moto ..
Ila Watu wawahi kujiiuliza kwa ninj yakiwa huko kwa wwnzetu hayawaki moto..?
Likifika tu Bongo, shida inaanzia hapo..
Suala la gear box kukosa nguvu siwezi liswmwa sijawahi kusafiri na hili gari umbali mrefu..
Na isitoshe, gear box ikiwa na shida, kama ni common issue, lazima Manufacturer afanye marekebisho kwenye model zinazofuata...
Ndiyo maana unaweza kukuta gari la mwaka 2010 la lingine la 2014 ila yanafanana kila kitu, jiulize kwa nini miaka ni tofauti...kana maboresho yamefanyika ambayo huwezi kuyaona kwa nje..
Chukulia case ya Nissan Murano, zile za mwanzo zilikuwa na issue ya transmission, lakini baadae walirekebisha kwenye model zilizofuata...
Kabala ya kununua gari, inatakiwa ufanye research ili upate kitu kilicho bora...
Swali bado linabaki kwa nini zinaungua zikitua tu Bongo na ilihali huko japani limetumika zaidi ya KM elfu 80..?
Kuna ahida kwa watanzania...Kubali au ukatae.....Zipo gari ukiweka brake pads fake tu ,utajuta..
Hii gari inatatizo pia la kuporomoka roof na kupasuka mtungi wa coolant reserve tank, kataa na hyo pia.
Hyo gari ukiinunua inakulazimu kbadili roof vinginevyo litaporomoka, hyo nayo uongo?
Toa mfano reserve tank ya gari gani inapasuka ovyo kama ya dualis na gari gani inaporomoka roof ikiwa used from japan kama dualis, ukifanya hvyo nadhani utaeleweka zaidi.Mkuu naona una chuki na hiyo gari, roof sagging ni common problem kwa magari mengi yenye umri mrefu, exposed to high temperatures, ambayo yalitumia fabric na aina ya gundi. ( Google car roof sagging). Kuna tatizo linasababisha coolant reserve tank kupasuka kwa gari lolote, check with your mechanic. Ukienda ilala coolant reserve tank zipo za gari zote.
Kwenye umeme sawa nimekuelewa, vipi na kuhusu hiyo gear box ambayo wadau wanasema ni kimeo?Naona watu wengi wanmezungumzia suala la Nissan dualis kuungua...