Mbona kama kipindi hiki wanawake wengi hawajasuka?

Ikiwa kama m'baba mambo mengine ni kukausha tu, kuanza kukagua wake wa wenzio nywele ni upungufu wa Kazi au akili au vyote kwa pamoja

Msihishi kwa habari za vijiweni kwamba January maisha magumu, labda kwako tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…