BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,869
- 13,137
- Thread starter
- #21
Kwani nywele zinajificha? Kupitia observation ya kawaida kabisa unaona kuna idadi kubwa ya dada zetu hawajasukaIkiwa kama m'baba mambo mengine ni kukausha tu, kuanza kukagua wake wa wenzio nywele ni upungufu wa Kazi au akili au vyote kwa pamoja
Msihishi kwa habari za vijiweni kwamba January maisha magumu, labda kwako tu