Mbona kama kipindi hiki wanawake wengi hawajasuka?

Mbona kama kipindi hiki wanawake wengi hawajasuka?

Jibu ni simple, wanaume wameanza kutumia akili miaka hii pesa zao wanafanya shughuli za maendeleo na umalaya plus kuhonga honga bila sababu wamepunguza.
 
Wee kuna haka ka msuko, nmesahau jina. Wanakasuka sanaaaa mtaani, nywele og isiyo na dawa kisha inasokotwa na mafuta.

Wanapendeza hata wenye makomwe
😂😂😂Wenye makomwe
Utasikia hii nywele inakaa miez mitatu ni nzuri kumbe kubana matumiz😂😂😂
 
Back
Top Bottom