BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,869
- 13,137
- Thread starter
-
- #21
Kwani nywele zinajificha? Kupitia observation ya kawaida kabisa unaona kuna idadi kubwa ya dada zetu hawajasukaIkiwa kama m'baba mambo mengine ni kukausha tu, kuanza kukagua wake wa wenzio nywele ni upungufu wa Kazi au akili au vyote kwa pamoja
Msihishi kwa habari za vijiweni kwamba January maisha magumu, labda kwako tu
HahaaaTumefumua za. Skukuu
TanzaniaWapi huko mkuu??,mbona huku tumesuka
Wa Tanzania.Unaongelea wanawake wa mkoa upi mkuu?
Sure inamake senseTumefumua za. Skukuu
Haya sawaTanzania
Kisha zikaoshwa na kukaushwa zinabanwa ili zisukwe tena.Tumefumua za. Skukuu
Mi binafsi nimependa tuNini sababu?
Makomwe yanafumikwa humo humo [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Wee kuna haka ka msuko, nmesahau jina. Wanakasuka sanaaaa mtaani, nywele og isiyo na dawa kisha inasokotwa na mafuta.
Wanapendeza hata wenye makomwe
Kuna ulazima gani wa kutusimanga wenye makomwe?Wee kuna haka ka msuko, nmesahau jina. Wanakasuka sanaaaa mtaani, nywele og isiyo na dawa kisha inasokotwa na mafuta.
Wanapendeza hata wenye makomwe
Tuliza komwe ๐นKuna ulazima gani wa kutusimanga wenye makomwe?
Sijapentaa
Tanzania sio mkoa mkuu.Wa Tanzania.
Mnawatumia hela hamwapi mnafikiri hizo nywele watasukia kwa hela zipi.Wengi wao wamebana nywele kwani kuna nini kimetokea?
๐๐๐Kujifanya style kumbe njanuary๐๐๐๐ ๐ ๐ ๐ ๐ wadada mliobana kijumong mnaitwa
kivumbiii๐๐๐Kujifanya style kumbe njanuary๐๐๐
Mitaa gani hiyo yenye wanawake?Wengi wao wamebana nywele kwani kuna nini kimetokea?
Hamna mkuu sema wengi ni majobless tu humu๐๐๐Si mmepitisha kampeni kabambe humu kwamba kijana okoa pesa zako okoa afya ya akili.
Unajua wanaume wa JD wakianzisha jambo Taifa linawasikiliza.