Mrs Besyige JF-Expert Member Joined Aug 27, 2019 Posts 1,040 Reaction score 2,923 Jan 18, 2024 #41 Depal said: Wee kuna haka ka msuko, nmesahau jina. Wanakasuka sanaaaa mtaani, nywele og isiyo na dawa kisha inasokotwa na mafuta. Wanapendeza hata wenye makomwe Click to expand... wadada over 35 wamekapaparikia balaa
Depal said: Wee kuna haka ka msuko, nmesahau jina. Wanakasuka sanaaaa mtaani, nywele og isiyo na dawa kisha inasokotwa na mafuta. Wanapendeza hata wenye makomwe Click to expand... wadada over 35 wamekapaparikia balaa
Dexta JF-Expert Member Joined Jan 4, 2015 Posts 2,096 Reaction score 5,211 Jan 18, 2024 #42 Queen Kan said: Tumefumua za. Skukuu Click to expand... Nadhani hili ndio jibu sahihi kabisaa.
Zemanda JF-Expert Member Joined Jan 10, 2021 Posts 8,323 Reaction score 18,051 Jan 18, 2024 #43 Jibu ni simple, wanaume wameanza kutumia akili miaka hii pesa zao wanafanya shughuli za maendeleo na umalaya plus kuhonga honga bila sababu wamepunguza.
Jibu ni simple, wanaume wameanza kutumia akili miaka hii pesa zao wanafanya shughuli za maendeleo na umalaya plus kuhonga honga bila sababu wamepunguza.
Aaliyyah JF-Expert Member Joined Mar 20, 2022 Posts 19,041 Reaction score 46,239 Jan 18, 2024 #44 Depal said: Wee kuna haka ka msuko, nmesahau jina. Wanakasuka sanaaaa mtaani, nywele og isiyo na dawa kisha inasokotwa na mafuta. Wanapendeza hata wenye makomwe Click to expand... 😂😂😂Wenye makomwe Utasikia hii nywele inakaa miez mitatu ni nzuri kumbe kubana matumiz😂😂😂
Depal said: Wee kuna haka ka msuko, nmesahau jina. Wanakasuka sanaaaa mtaani, nywele og isiyo na dawa kisha inasokotwa na mafuta. Wanapendeza hata wenye makomwe Click to expand... 😂😂😂Wenye makomwe Utasikia hii nywele inakaa miez mitatu ni nzuri kumbe kubana matumiz😂😂😂
Chizi Jambazi JF-Expert Member Joined Sep 22, 2017 Posts 1,769 Reaction score 1,379 Jan 19, 2024 #45 BabaMorgan said: Wengi wao wamebana nywele kwani kuna nini kimetokea? Click to expand... Kawatie uwape hela wakasuke
BabaMorgan said: Wengi wao wamebana nywele kwani kuna nini kimetokea? Click to expand... Kawatie uwape hela wakasuke