Mbona kama msafara wa Rais umebadilisha magari, kwasasa Rais anatembelea Range Rover?

Camilo Cienfuegos

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2015
Posts
19,380
Reaction score
68,484
Jana nimeona Rais Samia akiondoka na magari aina ya Range Rover mara baada ya kiapo.

Wajuzi wa mambo mje mtujuze yale magari ni Range Rover aina gani na sifa zake ni zipi?
 
Mpuuz ww hujui kodi ishatafunwa hapo hujui bongo kila rais anapoingia wananunua magari mapya seti zaid ya 10 magu alikuwa na bmw nadhan, jk alikuwa x5, huyu mnywa damu alipoingia alikuja na ma land cruser fulan ivi nadhan wameshayagawana now kaja na ma range nayo aktoka wanayagawana over.
 
Mpuuzi mumeo qoumer wewe
 
Back
Top Bottom