Mpuuz ww hujui kodi ishatafunwa hapo hujui bongo kila rais anapoingia wananunua magari mapya seti zaid ya 10 magu alikuwa na bmw nadhan, jk alikuwa x5, huyu mnywa damu alipoingia alikuja na ma land cruser fulan ivi nadhan wameshayagawana now kaja na ma range nayo aktoka wanayagawana over.