Nikifuatilia tukio la Hamza naona kama kamanda Sirro anatumia nguvu nyingi sana kuipakazia uovu familia ya Hamza.
Nakumbuka Bwana Zombe miaka ile nae alivyotaka kutuaminisha kuwa ameua majambazi kumbe ishu ilikuwa ni uporaji wa dhahabu za Mahenge.
Ni muafaka kwa Amir jeshi mkuu kuunda tume ya uchunguzi. Haki na ukweli huinua Taifa.