Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa mbona umeaacha hoja ya Msingi,tena umekuja na Wanaume wa Dar!? Haya yote yanatokea wapi!? Au Wanaume wa Dar wamekufanya Nini!? Na tangu lini wwe nilishawai kupa physical address yangu hadi ukajua Mimi ni wa Dar!?katika maisha yako yote, ni lini ulishawahi kuwapa tip polisi za uhalifu popote pale, acha wanaoshirikiana na polisi waongee nyie wanaume wa dar es salaam nyamazeni tu. sifuri nyie.
Kakosea sanaNikifuatilia tukio la Hamza naona kama kamanda Sirro anatumia nguvu nyingi sana kuipakazia uovu familia ya Hamza.
Nakumbuka Bwana Zombe miaka ile nae alivyotaka kutuaminisha kuwa ameua majambazi kumbe ishu ilikuwa ni uporaji wa dhahabu za mahenge.
Ni muafaka kwa Amir jeshi mkuu kuunda tume ya uchunguzi. Haki na ukweli huinua taifa
Hata siyo siku yoyote na Mungu ,anaaga kibarua ndani ya mwizi mmoja au mwizi huu na Samia ndo atamtoa .Kumbuka hii comment yanguSirro atatimuliwa siku yoyote na Mungu
Sirro atamaliza vibaya sana, kila dalili zinaonyesha, nilimpenda sana kwa weledi wake laki uovu na kiburi vimempenda zaidi.Nikifuatilia tukio la Hamza naona kama kamanda Sirro anatumia nguvu nyingi sana kuipakazia uovu familia ya Hamza.
Nakumbuka Bwana Zombe miaka ile nae alivyotaka kutuaminisha kuwa ameua majambazi kumbe ishu ilikuwa ni uporaji wa dhahabu za mahenge.
Ni muafaka kwa Amir jeshi mkuu kuunda tume ya uchunguzi. Haki na ukweli huinua taifa
Saa zingine waza nje ya box,unaambiwa ukweli unabisha! Mi niliaanza kujua gari tangu niko primary,na nilikua nafundishwa na baba yangu tangu niko mdogo! Leo hii wapo watu wazima hawajui hata kuendesha Baiskeli au gari! Mazingira yanachangia sana kwa Mambo mengi tu! Inategemea umezungukwa na vitu gani kwa wakati huo, na ndiyo vitakua vitu vya kwanza kujifunza!!si unatoka familia ya majambazi. ni halali tu.
,wewe ulitaka aprovoke familia ya wafiwa? haujui kama askari wake 3 wameuawa? yeye kama mkuu wa polisi amejeruhiwa sana na hilo ulitakiwa uanze na pole.
UmriiiSirro akili zimeshachoka, uwezo wa ku think straight like a sensible police officer umeshampii tnnnnotea.
Ipo siku atamjibu vibaya Samia mbele ya hadhara
Katiba inasema mtu hatatuhumiwa kwa kosa la mtu mwingine wanasheria inasaidieni hii familia ,, wanapo sema kuwa ni wasomali si kweli wale ni watz Kama ni kuinyapaa ile family bas waanze na Bashe, Mo dewj na Bakhlesa maana Kama color ndo kigezo Basi hao nao sawa na Hamza aliyeua Mtu mmoja Na Wazurumati watatu.Sawa ila mleta mada anashangazwa na Sirro kuishambulia familia kama vile ilimtuma Hamza kwa niaba, pia yeye jukumu lake ni kufanya uchunguzi atupatie ukweli nini kilisababisha Hamza kuchukua hatua ile ilihali alikua kada wa chama tawala.
Jeshi la polisi kujeruhiwa sana kumfanye siro awe rational vinginevyo atajeruhiwa tena na tena.wewe ulitaka aprovoke familia ya wafiwa? haujui kama askari wake 3 wameuawa? yeye kama mkuu wa polisi amejeruhiwa sana na hilo ulitakiwa uanze na pole.
Siro alikuwa mweledi kabla hajawa igp, baadaye watawala walifanikiwa sana kumu attenuate.Sirro atamaliza vibaya sana, kila dalili zinaonyesha, nilimpenda sana kwa weledi wake laki uovu na kiburi vimempenda zaidi.
Kutojua kushika au kutumia silaha kwa Karne hii huo ni uzembe wako mkubwa,unatakiwa uchapwe bakora usije ukatuaibisha kama wale maafande na bunduki yake anakimbilia baharini.lakini ilifanya hivyo kinafiki, they should be deported back to somalia. mtoto kama yule anajua vile kushika silaha, wapi amejifunzia kama sio kwa magaidi wenzie? na alivyo na tumbo kubwa sijui alijaza nini tumboni mle, matakataka ya chooni tu. walilitwanga risasi likadondoka kama puto. alijiona mmbabe sana kumbe zero tu.
Nani anafuraia binadamu kufa? Tunachoeleza wafanye uchunguzi waje na majibu ya nini kimetokea na hyo itasaidia kugundua kama wapo akina Hamza waliobaki huko uraiani kama mnaona mnapewa ushauri wa hovyo acheni.
Lili gaidi kwa unyama lilifonya ni heri familia yake ingekuwa deported irudushwe Somalia
Kama Gaidi Hamza kada wa ccm et mkuuhao aliowaua walikuwa ni wanyama? mbona una akili za kigaidi we mbwa?
Walimpeleka Misri kusomea dini. Una uhakija kama alikwenda kusomea dini hii ya kawaida tunayoijua sisi? Sirro msimbeze anazungumza vitu anavyovijua. Kama mzazi alimoeleka mtoto kusomea dini na akarudi wala hajautaka u Sheikh dini alisoma ya nini? Ni kweli hata upande wa pili wapo wanasoma dini na hawawi mapadre lakini dini ukasome Misri wakati hapa madrassa kibao?Nikifuatilia tukio la Hamza naona kama kamanda Sirro anatumia nguvu nyingi sana kuipakazia uovu familia ya Hamza.
Nakumbuka Bwana Zombe miaka ile nae alivyotaka kutuaminisha kuwa ameua majambazi kumbe ishu ilikuwa ni uporaji wa dhahabu za Mahenge.
Ni muafaka kwa Amir jeshi mkuu kuunda tume ya uchunguzi. Haki na ukweli huinua Taifa.