The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,942
- 20,077
Wale ni kuwanyima uraia wakauane huko kwao Somalia.Lili gaidi kwa unyama lilifonya ni heri familia yake ingekuwa deported irudushwe Somalia
Hatuwezi kukaa na watu wa namna hiyo hapa nchini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wale ni kuwanyima uraia wakauane huko kwao Somalia.Lili gaidi kwa unyama lilifonya ni heri familia yake ingekuwa deported irudushwe Somalia
Lili gaidi kwa unyama lilifonya ni heri familia yake ingekuwa deported irudushwe Somalia
Wale ni kuwanyima uraia wakauane huko kwao Somalia.
Hatuwezi kukaa na watu wa namna hiyo hapa nchini.
Sirro atatimuliwa siku yoyote na Mungu
Nani anafuraia binadamu kufa? Tunachoeleza wafanye uchunguzi waje na majibu ya nini kimetokea na hyo itasaidia kugundua kama wapo akina Hamza waliobaki huko uraiani kama mnaona mnapewa ushauri wa hovyo acheni.
Sababu ipo ndomaana kawahusisha wazazi...ila kama kawaida ya Watanzania,akiwahusisha wazazi,Hamza,ugaidi Na Dini Yao... waislam wote watalipuka hata kama Ni ukweliTabia ya mtu ni ya kwake binafsi kwa nini walaumiwe wazazi waliomleta duniani? Unless amefanya research ya kina kuona kama malezi yake yameinfluence tabia aliyoionyesha. Wazazi wengi huumizwa sana pale wanapoona watoto wao wanakengeuka. Tuwege na akiba ya maneno..ana watoto na pengine wajukuu.