wewe ulitaka aprovoke familia ya wafiwa? haujui kama askari wake 3 wameuawa? yeye kama mkuu wa polisi amejeruhiwa sana na hilo ulitakiwa uanze na pole.
Sawa ila mleta mada anashangazwa na Sirro kuishambulia familia kama vile ilimtuma Hamza kwa niaba, pia yeye jukumu lake ni kufanya uchunguzi atupatie ukweli nini kilisababisha Hamza kuchukua hatua ile ilihali alikua kada wa chama tawala.wewe ulitaka aprovoke familia ya wafiwa? haujui kama askari wake 3 wameuawa? yeye kama mkuu wa polisi amejeruhiwa sana na hilo ulitakiwa uanze na pole.
Hamza angekuwa ameua ndugu yako usingeanza na tantalila kama hizi, sasaivi ungekuwa umetandika turubai mnalia na usingefurahia post kama unazozileta hapa. nyau we.Sawa ila mleta mada anashangazwa na Sirro kuishambulia familia kama vile ilimtuma Hamza kwa niaba, pia yeye jukumu lake ni kufanya uchunguzi atupatie ukweli nini kilisababisha Hamza kuchukua hatua ile ilihali alikua kada wa chama tawala.
Sirro atatimuliwa siku yoyote na MunguNikifuatilia tukio la Hamza naona kama kamanda Sirro anatumia nguvu nyingi sana kuipakazia uovu familia ya Hamza.
Nakumbuka Bwana Zombe miaka ile nae alivyotaka kutuaminisha kuwa ameua majambazi kumbe ishu ilikuwa ni uporaji wa dhahabu za mahenge.
Ni muafaka kwa Amir jeshi mkuu kuunda tume ya uchunguzi. Haki na ukweli huinua taifa
lakini ilifanya hivyo kinafiki, they should be deported back to somalia. mtoto kama yule anajua vile kushika silaha, wapi amejifunzia kama sio kwa magaidi wenzie? na alivyo na tumbo kubwa sijui alijaza nini tumboni mle, matakataka ya chooni tu. walilitwanga risasi likadondoka kama puto. alijiona mmbabe sana kumbe zero tu.Hiyo familia ilihangaika kumtafutia Magufuli kura
Nani anafuraia binadamu kufa? Tunachoeleza wafanye uchunguzi waje na majibu ya nini kimetokea na hyo itasaidia kugundua kama wapo akina Hamza waliobaki huko uraiani kama mnaona mnapewa ushauri wa hovyo acheni.Hamza angekuwa ameua ndugu yako usingeanza na tantalila kama hizi, sasaivi ungekuwa umetandika turubai mnalia na usingefurahia post kama unazozileta hapa. nyau we.
Sirro akili zimeshachoka, uwezo wa ku think straight like a sensible police officer umeshampotea.Nikifuatilia tukio la Hamza naona kama kamanda Sirro anatumia nguvu nyingi sana kuipakazia uovu familia ya Hamza.
Nakumbuka Bwana Zombe miaka ile nae alivyotaka kutuaminisha kuwa ameua majambazi kumbe ishu ilikuwa ni uporaji wa dhahabu za mahenge.
Ni muafaka kwa Amir jeshi mkuu kuunda tume ya uchunguzi. Haki na ukweli huinua taifa
Anacho fanya siro kama ni hip-hop inaitwa rebattle.Nikifuatilia tukio la Hamza naona kama kamanda Sirro anatumia nguvu nyingi sana kuipakazia uovu familia ya Hamza.
Nakumbuka Bwana Zombe miaka ile nae alivyotaka kutuaminisha kuwa ameua majambazi kumbe ishu ilikuwa ni uporaji wa dhahabu za mahenge.
Ni muafaka kwa Amir jeshi mkuu kuunda tume ya uchunguzi. Haki na ukweli huinua taifa
Swala la Uhalifu au Ugaidi police pekee yao hawawezi bila ya sisi raia kuwapa ushirikiano wakuwapa taarifa za wahaalifu, maana wengi wao tunaishi nao mitaani mwetu!!Nani anafuraia binadamu kufa? Tunachoeleza wafanye uchunguzi waje na majibu ya nini kimetokea na hyo itasaidia kugundua kama wapo akina Hamza waliobaki huko uraiani kama mnaona mnapewa ushauri wa hovyo acheni.
katika maisha yako yote, ni lini ulishawahi kuwapa tip polisi za uhalifu popote pale, acha wanaoshirikiana na polisi waongee nyie wanaume wa dar es salaam nyamazeni tu. sifuri nyie.Swala la Uhalifu au Ugaidi police pekee yao hawawezi bila ya sisi raia kuwapa ushirikiano wakuwapa taarifa za wahaalifu, maana wengi wao tunaishi nao mitaani mwetu!!
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Hamza angekuwa kijana wa hovyo angeua raia waliokuwa mbele yake.Watu walipata nafasi ya kumrekodi Bila wasiwasi means jamaa hakuwa na shida na raiaNikifuatilia tukio la Hamza naona kama kamanda Sirro anatumia nguvu nyingi sana kuipakazia uovu familia ya Hamza.
Nakumbuka Bwana Zombe miaka ile nae alivyotaka kutuaminisha kuwa ameua majambazi kumbe ishu ilikuwa ni uporaji wa dhahabu za mahenge.
Ni muafaka kwa Amir jeshi mkuu kuunda tume ya uchunguzi. Haki na ukweli huinua taifa
Na CCM je?Lili gaidi kwa unyama lilifonya ni heri familia yake ingekuwa deported irudushwe somalia
hao aliowaua walikuwa ni wanyama? mbona una akili za kigaidi we mbwa?Hamza angekuwa kijana wa hovyo angeua raia waliokuwa mbele yake.Watu walipata nafasi ya kumrekodi Bila wasiwasi means jamaa hakuwa na shida na raia
Cha kushangaza ni nin hapo? Mie baba yangu alikuwa anamiliki aina 5 za silaha na nilijifunza kutumia nikiwa kijana mdogo tu, hali kadhalika kwa Hamza sioni cha kushangaza alijifunzia wapi maana nature zetu zinatubeba.lakini ilifanya hivyo kinafiki, they should be deported back to somalia. mtoto kama yule anajua vile kushika silaha, wapi amejifunzia kama sio kwa magaidi wenzie? na alivyo na tumbo kubwa sijui alijaza nini tumboni mle, matakataka ya chooni tu. walilitwanga risasi likadondoka kama puto. alijiona mmbabe sana kumbe zero tu.
si unatoka familia ya majambazi. ni halali tu.Cha kushangaza ni nin hapo? Mie baba yangu alikuwa anamiliki aina 5 za silaha na nilijifunza kutumia nikiwa kijana mdogo tu, hali kadhalika kwa Hamza sioni cha kushangaza alijifunzia wapi maana nature zetu zinatubeba.