Mbona kipindi hiki Mabwenyenye/tycoons wa biashara Tanzania wanakufa sana?

Mbona kipindi hiki Mabwenyenye/tycoons wa biashara Tanzania wanakufa sana?

Freed Freed

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2017
Posts
6,848
Reaction score
7,762
Nimekuwa nikiujiuliza mbona kipindi hiki Mabwenyenye/tycoons/Matajiri au ukipenda wenye Hela zao wanakufa sana? Napatwa na wasiwasi wa kutikisika kwa sekta binafsi. Rejea
1. Sir Andy Chande
2. Reginald Mengi.
3. Rugemalila/Ruge Mutahaba
4. Ally Mufuruki
5. Ndesamburo/Ndesapesa
6. Ongeza wengine.

Sababu ni nini ya hawa Tanzania business tycoons kufa mfululizo?
 
Back
Top Bottom