Majina tafadhali.Wanaibuka wapya #chipkizi
Ofisi ya M bankSerikali ilimfungia ofisi gani
Pamoj na mkono advocatesLaw firm.
Kwako tycoon ni mtu wa aina gani?
Hizo apartments ziko maeneo gani?Juzi bank imetangaza kuuza apartments zake kwa deni la $750,000.
Bosi Ruge wa cloudsHapo # 3 ndio nani? Rugamalila alifariki au ?
Sawa sawamuda wao umefika, kazi yake mola haina makosa
hao wameishi kwa raha sana tuwaombee na huko ahela wakaendelee na raha zao
but nasi pia tuendelee kuzichanga mkuu ili siku tuishi level kama hizo
Sikufahamu hili.Ruge hatakiwi kwny hyo listi alikw ceo wa clouds tena mwajiriwa
He wasnt self made
Tena moga kama ulikuwa hujui kaa kimyaRuge Naye alikuwa tycoon? ....seriously?
Hawataki kuishi km mashetani.Kiongozi mkubwa bila aibu anataka matajiri waishi km mashetani sasa sijui anajua mashetani yanavyoishi?Hakukosea aliyesema tuna rais wa ajabu haijapata kutokea. Sasa sijui kodi atakusanya wapi?Nimekuwa nikiujiuliza mbona kipindi hiki Mabwenyenye/tycoons/Matajiri au ukipenda wenye Hela zao wanakufa sana? Napatwa na wasiwasi wa kutikisika kwa sekta binafsi. Rejea
1. Sir Andy Chande
2. Reginald Mengi.
3. Rugemalila/Ruge Mutahaba
4. Ally Mufuruki
5. Ndesamburo/Ndesapesa
6. Ongeza wengine.
Sababu ni nini ya hawa Tanzania business tycoons kufa mfululizo?
Ruge Ndio umchanganye na akina Mengi, kweli?. Ndio umwite tajiri?.Bosi Ruge wa clouds
Ziko hapa dar kwny lile jengo la exim ghorofa ya 8 na 10.Hizo apartments ziko maeneo gani?
Ruge hatakiwi kwny hyo listi alikw ceo wa clouds tena mwajiriwa
He wasnt self made
vipi amepata shida gani?Juzi bank imetangaza kuuza apartments zake kwa deni la $750,000.
hivi Hudson ndusepyo yupo mkono advocates??Pamoj na mkono advocates
vipi amepata shida gani?
Kifupi diallo nae anahali mbaya ni vile kwasababu ni mwenyekiti wa chama
🤲🤲Kweli kabisaa,.ikifika imefika hakuna pa kujificha..