Mbona kipindi hiki Mabwenyenye/tycoons wa biashara Tanzania wanakufa sana?

Ulitaka nani afe ?
 
Ruge tycoon wa biashara au celebrate tu na kwenye ubwanyenye hayupo wala matajiri.
 
Ulitaka nani afe ?
Umenikumbusha mbali. Siku moja usiku kwa mara ya kwanza naangalia filamu ya kanumba ile ya Moses, kuna mdada alikuwa analia sijui nani yake kafa kanumba akamuuliza "ulitaka nani afe ili usilie" alfajiri ya siku iliyofuata nafungulia tu redio, nasikia "... Inatoa pole kwa familia ta marehemu S C Kanumba aliyekuwa muigizaji maarufu
 
Hapo # 3 ndio nani? Rugamalila alifariki au ?
 
muda wao umefika, kazi yake mola haina makosa

hao wameishi kwa raha sana tuwaombee na huko ahela wakaendelee na raha zao
but nasi pia tuendelee kuzichanga mkuu ili siku tuishi level kama hizo
 

Aisee - ni kweli inashangaza... kwa nini mwaka huu? Au walikuwa ni FREE MASONS hawa???? Halafu cha kushangaza zaidi - nae Mkuu wa nchi katoa msamaha wa wafungwa 5533. Nani anajua maana ya hii code - 5533?? kwa nini ije hiyo namba, na siyo namba nyingine??? Ilipangwa??? Huku Pemba bado tunatafakari haya mambo....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…