Mbona kipindi hiki Mabwenyenye/tycoons wa biashara Tanzania wanakufa sana?

Muda wao wa kuishi duniani umefika kikomo, hakuna zaidi ya hili.
 
muda wao umefika, kazi yake mola haina makosa

hao wameishi kwa raha sana tuwaombee na huko ahela wakaendelee na raha zao
but nasi pia tuendelee kuzichanga mkuu ili siku tuishi level kama hizo
Sawa sawa
 
Hawataki kuishi km mashetani.Kiongozi mkubwa bila aibu anataka matajiri waishi km mashetani sasa sijui anajua mashetani yanavyoishi?Hakukosea aliyesema tuna rais wa ajabu haijapata kutokea. Sasa sijui kodi atakusanya wapi?
 
Naona kila siku anapelekwa kwny mahakama za kazi,mara mkombozi bank inataka kumfilisi
Kifupi diallo nae anahali mbaya ni vile kwasababu ni mwenyekiti wa chama
 
Ruge alikuwa anafanya biashara gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…