Mbona kipindi hiki Mabwenyenye/tycoons wa biashara Tanzania wanakufa sana?

Muda ukifika haina kukwepa uwe tajiri,maskini,mtoto,mzee,kijana haina kichagua muda ukifika umefika.
Mungu mkubwa.
 
Ukiona au kusikia nimekufa fahamu kazi niliopewa na Mungu Duniani imefikia kikomo.

Siajabu nilikuja kwa kazi moja nizae Rais wa ndugu zangu Watanzania au nipate mtoto mwenye akili nyingi kama Engineer Mh Mfugale kwa faida ya wote.

Au nizae kahaba wa kumtoa mtu stress japo ilo siliombei.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Negative mnoo
 
Halafu wengi wa wanaokufa ni wazawa weusi. Wahindi, Waaarab na Mabeberu wao wanadunda tu
 
Usijali braza,ukifa nitarithi mkeo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…