Alitaka waishi milele. Ila maskini tu ndio wafe!!Ulitaka nani afe ?
Hana muda huyu..Freed Freed, Hivi Mzee Nimrod Mkono anaendeleaje naye?
Tangu serikali imfungie ofisi alitaharuki na kuugua sana.
Hili swali ilipaswa uulizwe wewe!Kwako tycoon ni mtu wa aina gani?
Unamchulia mzee wa watu?
Wengiwa hawa wapya ni mapandikizi.Wanaibuka wapya #chipkizi